Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'.
Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Megawatts 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.