Mkataba wa ujenzi wa Bwawa kuzalisha umeme a 'Stieglers Gorge' kusainiwa kesho tarehe 12/12/2018

Hui n
View attachment 964505
Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'. Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Mega Wati 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Huu nao ni upigaji mwingine wa awamu ya 5,
 
Hahaha kila siku tunaambiwa umeme itakua historia, huwa sielewi historia kivipi?! Huu wa Dr. kalemani historia yake ni kukatika kila siku saa 12 alfajiri una rudi saa 5 usiku. Mara gesi ikifika kinyerezi umeme utaandika historia mpya, gesi ikafika yale yale, Sijui huu wa huyo Stiglers gorge utaandika historia ipi?!
Tatizo wewe unawanukuu vibaya. Wanaposema tatizo la umeme litakuwa historia ndio kama hivyo, yaani ukatike katike mara nyingi zaidi ili uje upate historia ya kuwasimulia wajukuu zako huko mbeleni maana Tembo watakuwa hamna tena ila umeme watauona hata wa solar.
 
Hahaha yani uko mbeleni ndio utakua hauwaki kabisa?! Tuliambiwa kinyerezi I&II zikipata gesi tu, historia itaandikwa. Sasa waliishapata gesi wakasahau kuandika historia wameanza kuongea Stiglers gorge tena.
 
View attachment 964505
Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'. Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Mega Wati 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
GESI IPO WAPI? MEMBE ATOSHA 2020
 
Hivi nani anayeamua source ya umeme ambayo nchi inatakiwa kutumia? Ni wataalam, waziri au rais kwa sababu naona hakuna "Consistency" ktk hili swala, naona kama ni siasa zaidi.
 
Hahaha yani uko mbeleni ndio utakua hauwaki kabisa?! Tuliambiwa kinyerezi I&II zikipata gesi tu, historia itaandikwa. Sasa waliishapata gesi wakasahau kuandika historia wameanza kuongea Stiglers gorge tena.
Hiki chama bila kung'olewa hapo kilipo tunaweza kuamini kweli maisha ya Mtanzania ndio yanapaswa kuwa hivi hivi siku zote.
 
Dakika ni ya 25 goli ni (7-0) Ufipa FC hawaamini kinachowatokea

kwa takwimu mpaka sasa possession ni 95% kwa upande wa lumumba na 5% kwa upande wa Ufipa

Kadi nyekundu [emoji837][emoji837] ni mbili zikienda kwa Mbowe na Matiko

Huku kiungo wao machachari kabisa (Lisu) akiwa majeruhi hoi bin taaban

Unapigwa mpira wa adhabu kuelekea lango Ufipa ikumbukwe goal keeper ni (piere, mzee wa liquid [emoji91], konki fire[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])

ufipa hoi
 
Hiki chama bila kung'olewa hapo kilipo tunaweza kuamini kweli maisha ya Mtanzania ndio yanapaswa kuwa hivi hivi siku zote.
Hahaha acha wajifurahishe tuliisha zoea sisi. Hata faida za umeme hatuzijui sisi huku nanjilinji
 
Tatizo wewe unawanukuu vibaya. Wanaposema tatizo la umeme litakuwa historia ndio kama hivyo, yaani ukatike katike mara nyingi zaidi ili uje upate historia ya kuwasimulia wajukuu zako huko mbeleni maana Tembo watakuwa hamna tena ila umeme watauona hata wa solar.
Ama kweli nyie niwatanzania.
 
Amemalizana na unnesco kwanza au misifa tuu???
Otherwise hakuna Kampuni itakayo pewa ruksa kujenga ama bank yeyote duniaani Ku finance hiyoo project under UN restrictions laws hizo sio mie and signs by all UN membership including Tanzania
 
Uoga peleka kwa wazazi wako
 
Back
Top Bottom