YesArab contractors?
Jiandae ulipie jenereta kma unalo!Umeme huu huu
Umeme again
The same Umeme
Saaaafi kanyaga twende
Awamu hii mtalalama mpaka basis, Huyo ndo JPMJiandae ulipie jenereta kma unalo!
Ova
Tatizo liko wapi?!
Husemwa
Wachina,ni waizi wakubwa!!!
Wazungu,ni wanyonyaji!!!
Mwafrika,Ni sawa na chemba!!!
Hatuna zaidi
tutawatukana mpaka Mama zetu na kuwakashifu tusipokuwa makini
Kuna mjuaji mmoja haelewi nini kinaendelea
Jamani....wewe una shida sio bure. Umeelewa nini kuhusu Arab Contractors? A company from Egypt?
Ungeuliza nimemuelewesha. Umeongea kama vile nimetukana wakati najua naongea nini. Kazi kweli kwelinieleweshe mkuu
Ungeuliza nimemuelewesha. Umeongea kama vile nimetukana wakati najua naongea nini. Kazi kweli kweli
Kama wapi kwa mfano tutauza huo umeme mkuuView attachment 964505
Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'. Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Mega Wati 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
View attachment 964505

Hawa Jamaa hivi ofisi zao ziko wapiArab contractors?