Mkataba wa ujenzi wa Bwawa kuzalisha umeme a 'Stieglers Gorge' kusainiwa kesho tarehe 12/12/2018

Hui n Huu nao ni upigaji mwingine wa awamu ya 5,
 
Tatizo wewe unawanukuu vibaya. Wanaposema tatizo la umeme litakuwa historia ndio kama hivyo, yaani ukatike katike mara nyingi zaidi ili uje upate historia ya kuwasimulia wajukuu zako huko mbeleni maana Tembo watakuwa hamna tena ila umeme watauona hata wa solar.
 
Hahaha yani uko mbeleni ndio utakua hauwaki kabisa?! Tuliambiwa kinyerezi I&II zikipata gesi tu, historia itaandikwa. Sasa waliishapata gesi wakasahau kuandika historia wameanza kuongea Stiglers gorge tena.
 
GESI IPO WAPI? MEMBE ATOSHA 2020
 
Hivi nani anayeamua source ya umeme ambayo nchi inatakiwa kutumia? Ni wataalam, waziri au rais kwa sababu naona hakuna "Consistency" ktk hili swala, naona kama ni siasa zaidi.
 
Hahaha yani uko mbeleni ndio utakua hauwaki kabisa?! Tuliambiwa kinyerezi I&II zikipata gesi tu, historia itaandikwa. Sasa waliishapata gesi wakasahau kuandika historia wameanza kuongea Stiglers gorge tena.
Hiki chama bila kung'olewa hapo kilipo tunaweza kuamini kweli maisha ya Mtanzania ndio yanapaswa kuwa hivi hivi siku zote.
 
Dakika ni ya 25 goli ni (7-0) Ufipa FC hawaamini kinachowatokea

kwa takwimu mpaka sasa possession ni 95% kwa upande wa lumumba na 5% kwa upande wa Ufipa

Kadi nyekundu [emoji837][emoji837] ni mbili zikienda kwa Mbowe na Matiko

Huku kiungo wao machachari kabisa (Lisu) akiwa majeruhi hoi bin taaban

Unapigwa mpira wa adhabu kuelekea lango Ufipa ikumbukwe goal keeper ni (piere, mzee wa liquid [emoji91], konki fire[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])

ufipa hoi
 
Hiki chama bila kung'olewa hapo kilipo tunaweza kuamini kweli maisha ya Mtanzania ndio yanapaswa kuwa hivi hivi siku zote.
Hahaha acha wajifurahishe tuliisha zoea sisi. Hata faida za umeme hatuzijui sisi huku nanjilinji
 
Ama kweli nyie niwatanzania.
 
Amemalizana na unnesco kwanza au misifa tuu???
Otherwise hakuna Kampuni itakayo pewa ruksa kujenga ama bank yeyote duniaani Ku finance hiyoo project under UN restrictions laws hizo sio mie and signs by all UN membership including Tanzania
 
Uoga peleka kwa wazazi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…