Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,124
Sijakulupuka braza.. Na factor zoteHoima nao wanaharibu mazingira? Truth be told. Unadanganya. Hoima haina donors....Hoima ni private project ambayo shareholders lazima wawe na vigezo vyote vya kukopeshwa hela ndio watakopwa. Ilivyo sasa mambo ya msingi hayajakamilika kama HCA.
Kama hatuna uhakika tusijitolee kuwa waongeaji wa mambo ambayo hatuna uhakika nayo
Am not cawadly you fool...Uoga peleka kwa wazazi wako
Pale asiye na akili anapojiona ana akiliAkili simple huwezi kuchangia Uzi wangu pita ukalale
Wapo egypt mzee baba,nendaNdiyo Mkuu, Njaa Kali tuna vyeti vimekuwa magaodoro ya Mende tu
Kwa Avatar yako tu sikushangai,huyo Mr slim tutamfundisha adabu after 2020 kamwambie kabisaPale asiye na akili anapojiona ana akili
Pole sana bavicha nyie ndo tutafundisha adabu after 2020 maana hii ya magu haiwatoshiKwa Avatar yako tu sikushangai,huyo Mr slim tutamfundisha adabu after 2020 kamwambie kabisa
pole
angalia nchi zinazotuzunguka zina demand ya umeme kiasi gani
na zina zalisha kiasi gani
kama haujui hata informatiob gani utafute, sikusaidii
Rais atakua rasmi dodoma kabla ya mwaka mpya,
Ahsante sana mkuu ila na wewe hujui maana ungelijua ungeleta jamvini ili wengine kama mimi tuelimike au kuhoji kama hatuafiki na data zako. Mimi nasema hakuna power demand ya kihivyo, nilitegemea wewe unionyeshe hiyo demad ili uni proof wrong.
Anyway ndiyo raha ya JF hiyo mkuu.
Mkuu samahani,lakini Stieglier chanzo chake sio ziwa Victoria!Kampuni ya Misri? aisee TISS imeshakufa,uwezo wa TISS upo kwenye kuteka,kuua,kupoteza na kuvuruga upinzani zaidi ya hapo TISS ya sasa ni uharo mtupu and I don't stand to be corrected...
Misri ni adui mkubwa wa siri wa Tanzania na mataifa yote yenye ziwa Victoria kwa Sababu ya mto Nile,ambao ndo mungu wa Misri,Misri haitaki mataifa hayo yatumie maji ya ziwa Victoria kwa gharama yoyote,na kuna baadhi ya mawaziri wa mataifa hayo wapo kwenye payroll ya siri ya Misri ili waweze kuhujumu miradi yoyote ya umwagiliaji,Misri inahofia mataifa hayo yakitumia maji ya ziwa Victoria kwa shughuli za kilimo,maji hayo yatapunguza kasi ya kumwaga kwenye mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria.
Bila mto Nile hakuna Misri,kwa hiyo Misri lazima wahujumu mradi wa stigler hawawezi kufanya kiufanisi ni lazima watuhujumu tu kwa mbinu wanazojua.
Ni sawa na Leo wapewe tenda Ethiopia ni lazima watalipiza kisasi baada ya Ethiopia kuutumia mto Nile kujenga bwawa kubwa la umeme.
Misri hujiona ina haki sana na maji ya ziwa Victoria na ina haki sana na mto Nile kuliko mataifa yote.
CCM TOKENI SASA YATOSHA...
Sioni hizo facts. Stanbic ndio wanashughulikia mazingira huko Hoima?Sijakulupuka braza.. Na factor zote
Stanbic sees June 2019 close for $2.5 bln debt deal for Uganda's oil pipeline
Bac itakuwa ni wewe nadhaniSioni hizo facts. Stanbic ndio wanashughulikia mazingira huko Hoima?
Bravo..Mkuu samahani,lakini Stieglier chanzo chake sio ziwa Victoria!
Na Katika Ujenzi Watanzania watahusika Mkuu!
Huo Uhujumu Sijui ni wa Namna Gani?
Katika Kuficha Technology kila Nchi huficha,Ila Wakimaliza Lazima Kuwe na Grace period,yaani Pre-Commissioning,Commissioning na Hope tutakuwa na Wataalam wetu ambao watakuwa Wamesomeshwa,kuanzia Sasa Serikali Inabidi isomeshe watu deeply kwenye Masuala ya Hydro electric Power na Mambo ya Commissioning ili wakati wa Ku test tunakuwa Vema,Though tayari tunayo mabwawa madogo kama Kidatu,Mtera nk,
One thing good about life....dua la kuku halimpati mwewe.Bac itakuwa ni wewe nadhani
The misuse of words on its bestushaspin tayari