Kampuni ya Misri? aisee TISS imeshakufa,uwezo wa TISS upo kwenye kuteka,kuua,kupoteza na kuvuruga upinzani zaidi ya hapo TISS ya sasa ni uharo mtupu and I don't stand to be corrected...
Misri ni adui mkubwa wa siri wa Tanzania na mataifa yote yenye ziwa Victoria kwa Sababu ya mto Nile,ambao ndo mungu wa Misri,Misri haitaki mataifa hayo yatumie maji ya ziwa Victoria kwa gharama yoyote,na kuna baadhi ya mawaziri wa mataifa hayo wapo kwenye payroll ya siri ya Misri ili waweze kuhujumu miradi yoyote ya umwagiliaji,Misri inahofia mataifa hayo yakitumia maji ya ziwa Victoria kwa shughuli za kilimo,maji hayo yatapunguza kasi ya kumwaga kwenye mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria.
Bila mto Nile hakuna Misri,kwa hiyo Misri lazima wahujumu mradi wa stigler hawawezi kufanya kiufanisi ni lazima watuhujumu tu kwa mbinu wanazojua.
Ni sawa na Leo wapewe tenda Ethiopia ni lazima watalipiza kisasi baada ya Ethiopia kuutumia mto Nile kujenga bwawa kubwa la umeme.
Misri hujiona ina haki sana na maji ya ziwa Victoria na ina haki sana na mto Nile kuliko mataifa yote.
CCM TOKENI SASA YATOSHA...