Hebu iweke hapa jamvini nakala yake tukaipitie kabisa kipengele baada ya kipengele kabla haijageuka Richmond na Dowans huko mbele ya safari.
Mkataba wa aina hiyo si ni taarifa ambayo ni mali ya umma, iweke hapa sasa hivi kabla haijavunda na kuanza kunuka hovyo huko mbeleni.
Na huu mkataba mmoja ni wa umeme mwingi zaidi ya umeme waliokwisha weka Nyerere, Mwinyi na Nkapa, hata ukijulisha wote kwa pamoja.
Na mingine mitatu kama huo ipo njiani inakuja, final touches.
zomba naomba nitumie tigo yako plz...u sound like a guy..Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Serikali Ya JMT chini ya Uongozi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, imeshatiliana saini na Mwekezaji wa kuweka mitambo ya kufuwa umeme wa kutumia makaa ya mawe usiopunguwa Megawati 600.
Zaidi ya hayo ni kuchimba na kuzalisha Chuma, kwa hili Tanzania inakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki.
Ahsante Jakaya, action speaks louder than words.
ZOMBA WEKA HUO MKATABA HAPA TUKAUCHAMBUE
Zomba, kuna vijiba gani tena hapo?
Rais anposaini mkataba hufanya hivyo kwa niaba ya sisi sote kama taifa na wala hafanyi hivyo kwa manufaa ya familia yake kiasi cha kukufanya uone ya kwamba akifanya hivyo basi waraka huo UBAKIE SIRI UVUNGUNI MWA KITANDA mpaka siku itakapozunda kama ya Dowans ndio mnahaha nayo kuileta mezani ili tukawalipe wamiliki majini babari fedha zetu.
Acha kujizungusha bure, weka huo mkataba hapa jamvini tukausome tuone vipengele vyake vimekaeje maana viongozi wetu hawaaminiki tena kwa lolote lile.
Kujaribu tukupeleka macho yetu kwenye umeme Megawatts 600 utakaopatikana utakaopatikana haitoshi, sharti Watanzani tangu sasa na tukapekue kila mkataba unasemaje na ulitayarishwa na wanasheria gani tofauti na wale waliowahi kututumbukiza kwenye janga kubwa kama taifa kufanya bisahara na Majini wasiojulikana sura wala nchi wanakotoka mle ndani ya Dowans.
Zomba najua sana unavyojuta kilichokufanya uanze kujitambisha na mkataba huo wa Mhe Kikwete hapa jf. Kama wewe si mtaalam wa kutundika ovyo threads zisizokuwa na kichwa wala miguu, tundika na huo mkataba hapa, laa sivyo uondoe kabisa kauli za mijigambo hewa hapa na kutuomba msamaha endapo bado chembe cha ustaarabu na ukomavu unanukia kwako.
Karibu kwa mtihani huu.

Ukipenda hizo habari pokea hukupenda ziache kama zilivyo. Si kazi yangu kubandika mikataba JF, mwenyekazi hiyo ni yule kizabizabina wa JF mkjj.
Kumbe wewe ni Dr Salva Rweyemamu na kwamba hapa ulikua tu kwenye kufanikisha kazi ya kutukana wana jf na kiswahili hicho cha 'rusha roho' na wala si kujibu hoja?
Umeeleweka hadi hapo, kwaheri!