Zomba hulali? Lala, angalau masaa kidogo, azawaisi skrini ya kompyuta itakuchanganya na utaanza kuokota makopo mitaani hivi karibuni. Mawazo na maandiko yako yanaonyesha wewe ni mzee uliyepitwa na wakati kwa hiyo wakati mwengine unastahili kupumzika, japo kwa siku nzima. Utumbo wako umepitiliza kiasi, na sidhani kama kuna mtu anakuchukulia siriaz kwa sasa.
Serikali ya wawekezaji! Serikali ya Takwimu! - Kuwa ya Kwanza Afrika Mashariki
Hivi Salva aka zomba una matatizo yoyote ya akili?
JK kutia sahihi na mwekezaji inastahili pongezi zipi? Wajibu wake kama mtawala ni nini?
Acheni kusifia "mgema"!
Hebu tembelea hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...aomba-mjadala-wa-ulinzi-kitaifa-kunusuru.html
good news to those who believe...Serikali Ya JMT chini ya Uongozi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, imeshatiliana saini na Mwekezaji wa kuweka mitambo ya kufuwa umeme wa kutumia makaa ya mawe usiopunguwa Megawati 600.
Zaidi ya hayo ni kuchimba na kuzalisha Chuma, kwa hili Tanzania inakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki.
Ahsante Jakaya, action speaks louder than words.
nailinganisha hii kauli na mtu anayeuliza nani kabla ya 1973 aliendesha VXV8? kila jambo na wakati.... wakati kenya wanapiga zaidi ya 900MW tena kwa kutengeneza wenyewe na hawana gesi wala makaa ya mawe... wewe unasifia foreigners kuja kuchoma mkaa wetu wenyewe kwenye ardhi yetu wenyeweNani kabla yake alisaini mkataba wa umeme wa 600 MW?
Ukipenda hizo habari pokea hukupenda ziache kama zilivyo. Si kazi yangu kubandika mikataba JF, mwenyekazi hiyo ni yule kizabizabina wa JF mkjj.
Nani kabla yake alisaini mkataba wa umeme wa 600 MW?
good news to those who believe...
Je ya richmond hayatajirudia?
mkataba huu haufanani na wa TRL?
vipi jamaa watabeba kila kitu kama AFGEM na wachimba madini?
vipi kuhusu miundombinu stengthening, imo ndani?
kenya wanatengeneza wenyewe... sisi tunaomba mwekezaji, ni sawa?
Zomba, thanks for the info, nasubiria daraja la kigamboni
Sina imani yoyote namikataba inayosainiwa chini ya serikali ya JK. ana record mbaya sana hebu tuangalie hii mikataba mibovu ambayo imevunja record ya dunia
RICHMOOND
TRL
ATC
TICTS
Mikataba hii yote ni Ufisadi mputu sasa huu aliokuja kuupamba hapa huyu Zomba nao utakuwa na usafi gani? Leo hii wenzetu wanafanya bulding capacities ya watu wao kuendesha wenyewe miradi kama hii sisi na tunashangilia mwekezaji tena wa kichina.
a journey of a thousand miles begins with a single step... if you cant even lift your leg how on earth do you expect to walkWatu tunasubiria Kigamboni City wewe bado unasubiri kidaraja kimoja tu?
Serikali Ya JMT chini ya Uongozi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, imeshatiliana saini na Mwekezaji wa kuweka mitambo ya kufuwa umeme wa kutumia makaa ya mawe usiopunguwa Megawati 600.
Zaidi ya hayo ni kuchimba na kuzalisha Chuma, kwa hili Tanzania inakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki.
Ahsante Jakaya, action speaks louder than words.
mimi sioni jipya lolote.......tatizo mnasahau kuwa tatizo letu siyo vyanzo wala mipango kama hii ...mchawi ni utekelezaji wake ndiyo ishu...nani anayejua hawa wachina wamepataje hiyo tenda?????....mnajua gharama za pembeni walizotakiwa kulipa kwa kupata tenda hii???.....kila kitu tunacho maji, gesi,uranium ,upepo etc lakini tupo wapi sasa??...hebu amkeni!! Tujadili mengine!!!!
Ukipenda hizo habari pokea hukupenda ziache kama zilivyo. Si kazi yangu kubandika mikataba JF, mwenyekazi hiyo ni yule kizabizabina wa JF mkjj.