zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
- Thread starter
- #21
Zomba hulali? Lala, angalau masaa kidogo, azawaisi skrini ya kompyuta itakuchanganya na utaanza kuokota makopo mitaani hivi karibuni. Mawazo na maandiko yako yanaonyesha wewe ni mzee uliyepitwa na wakati kwa hiyo wakati mwengine unastahili kupumzika, japo kwa siku nzima. Utumbo wako umepitiliza kiasi, na sidhani kama kuna mtu anakuchukulia siriaz kwa sasa.
Hata hili jambo jema la kusainiwa mkataba wa kufuwa umeme wa uhakika hujalipenda? Kwa kuwa tu, kalifanya Jakaya?