Mkataba wa ushirikiano

Mkataba wa ushirikiano

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
841
Reaction score
1,755
Habarini wana jamvi,nimekuja kwenu naomba kujua iko hivi

Mimi nina wadogo zangu wa kike wawili na ni mjasiriamali nataka kuwaokoa kwenye ishu ya kuhangaika na ajira nataka niwashilikishe kwenye moja ya biashara yangu mpya nayopanga kufungua mwezi wa 10 nataka waweke shea yao ili kila mwezi wawe wanapata mgao wao

Shida nina familia na nataka tuwe na mkataba utakao tambulika na familia yangu kujua dada zangu wanashea kwenye biashara mpya

Mfano mtaji nataka uwe million 1 wao waweke laki 4 kwenye mtaji wote nilikuwa naomba mchanganuo wa mkataba unapaswa uwaje pamoja na mgao

Kama ndakuwa sijaeleweka alienielewa hata kidogo anaweza kuiweka vizuri

Nategemea mawazo yenu
 
Hiyo ni partnership au ubia. Mtafute mwanasheria akupe ushauri na kuwaandikia makubaliano yenu.
 
Kwa kuwa mwisho mwishoni mtatia saini kwa mwanasheria..... basi wazo zuri ni kianza kumshirikisha mwanasheria tangu mwanzo mwanzoni

Utakuta ye anazo sampo ukachukua moja ukaifiti kwa mahitaji yako mkamaliza mchezo
 
Back
Top Bottom