kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Juzi jirani na nyumbani ninapoishi nimeona watu wanachimba mashimo kuweka nguzo za miti zile za tanesco. Nikawauliza kwani tanesco bado mnaweka nguzo za miti maana juzi tu nimeona hapo jirani mumereplace nguzo iliyoanguka kwa nguzo ya zege.
Jibu lilikua wao sio tanesco ila wanaweka mtandao kwa kusambaza mkongo wa taifa. Hapo likanijia wazo kwamba kuna wahuni washachukua ulaji kuweka mtandao pengine sio lazima.
Mkataba wa kina kalemani wa kutumia nguzo za kusambaza umeme za tanesco badala ya kuweka mtandao mpya nikawaza bila shaka umeyeyuka. Kuweka mtandao mpya itatutumia ardhi mpya pengine chini ya kampuni mpya ya wahuni.
Hapo walipokua wanachimba kuwekwa nguvu kwa kumbukumbu yangu kuna bomba kubwa la maji yanapita. Ingekua sio kuwatahadharisha kungetokea shida.
Wahuni hawajali mawazo mazuri yanayoweza kuokoa gharama kwa fedha za umma. Wanachojali wao ni kupata hela hata kama ni kwa kukamua fedha ya umma au hata kuiba.
Mungu tunusuru Rip.JPM