Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 459
Tuanzie hapa kwanza kabla ya kujua watakachonufaika nacho. Je wamesainia mkataba wa kitu gani?Habari za mchana ndugu zangu . Jana nimeona yanga wamesain mkataba na laliga na sevilla na wametoa billion 2.6 Sasa kwa wale wajuzi wanisaidie yanga itanufaikajee na huu mkataba?
[emoji3][emoji3]Yanga wenyewe hawajui watanufaikaje kikubwa wanamkataba na laliga tu
we mwenyewe hujui lolote unafuata tu mkumboAchana nayo tu hayo Mambo Mkuu!!! Kama sio Shabiki na Mwanachama wa Yanga
we mwenyewe hujui ungeshaelezaUkiona hufahamu ujue haikuhusu
Sawa Dada anguwe mwenyewe hujui lolote unafuata tu mkumbo
HahahahaYanga wenyewe hawajui watanufaikaje kikubwa wanamkataba na laliga tu
HAHAHAA mkuu umeuaYanga wenyewe hawajui watanufaikaje kikubwa wanamkataba na laliga tu
Haijatolewa bilioni 2.6 imetplewa milioni 208 kwwa ajili ya ushauri wa namna nzuri ya kubadilisha mfumo wa uongozi na umiliki.Habari za mchana ndugu zangu . Jana nimeona yanga wamesain mkataba na laliga na sevilla na wametoa billion 2.6 Sasa kwa wale wajuzi wanisaidie yanga itanufaikajee na huu mkataba?