Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 459
Habari za mchana ndugu zangu .
Jana nimeona yanga wamesaiin mkataba na La Liga na Sevilla na wametoa billion 2.6 Sasa kwa wale wajuzi wanisaidie yanga itanufaikajee na huu mkataba?