[emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787]Yanga wenyewe hawajui watanufaikaje kikubwa wanamkataba na laliga tu
acha kujifanya hujaelewa mada mkuu,Yanga wananufaika vipi?habari za Mo na Simba zimeingiaje?watu wanaposema hata nyinyi hamjui mtanufaikaje wanaweza kuwa wakweliMikia bhana. Wanadhani hela za Mo ni za kwao.
Hawana akili yoyote zaidi ya kumtegemea Mungu wao Mo Dewji.
Hii njia wanamopita Yanga, Mikia wanakuja kuifuata.
Mchakato ni hatua kwa hatua. Kama umemsikiliza Eng. Hersi wa GSM, kila kitu kipo wazi.acha kujifanya hujaelewa mada mkuu,Yanga wananufaika vipi?habari za Mo na Simba zimeingiaje?watu wanaposema hata nyinyi hamjui mtanufaikaje wanaweza kuwa wakweli
Atakuwa yupo Kwenye uvungu wa meza amejificha, UTOPOLO hawashindwi kituu yaani!Hivi hapo mwakilishi wa laliga au sevilla in yupView attachment 1468930