Mkataba wa Yanga sijafahamu watakavyonufaika

Mkataba wa Yanga sijafahamu watakavyonufaika

Hivi hapo mwakilishi wa laliga au sevilla in yup
IMG-20200602-WA0001.jpeg
 
Mikia bhana. Wanadhani hela za Mo ni za kwao.
Hawana akili yoyote zaidi ya kumtegemea Mungu wao Mo Dewji.

Hii njia wanamopita Yanga, Mikia wanakuja kuifuata.
acha kujifanya hujaelewa mada mkuu,Yanga wananufaika vipi?habari za Mo na Simba zimeingiaje?watu wanaposema hata nyinyi hamjui mtanufaikaje wanaweza kuwa wakweli
 
acha kujifanya hujaelewa mada mkuu,Yanga wananufaika vipi?habari za Mo na Simba zimeingiaje?watu wanaposema hata nyinyi hamjui mtanufaikaje wanaweza kuwa wakweli
Mchakato ni hatua kwa hatua. Kama umemsikiliza Eng. Hersi wa GSM, kila kitu kipo wazi.
Mtu ana question manufaa. Je, Mo kaleta manufaa gani kwa Simba?
Tofauti itakuwa ni njia ya kupitia ambayo itakuja kuamua ni upi mchakato wa kudumu.
 
Back
Top Bottom