Mkataba Wangu Wa Kazi Umeisha Na Sitaongezewa,je Haki Yangu Ni Zipi?

Mkataba Wangu Wa Kazi Umeisha Na Sitaongezewa,je Haki Yangu Ni Zipi?

James Hungury

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
825
Reaction score
612
Nawasalimun Nyote Wakuu,
Kama Heading Yangu Inavyojieleza.Jana Nimepgiwa Simu Na Mwajir Wangu Yakuwa Mkataba Wangu Unaisha Mwezi Huu Na Kampuni Haitaongeza,na Hapa Wameniambia Nijaze Clearance Form,
Nachotaka Kujua Je Ni Kipi Nifanye Ili Katika Hili Haki Zangu Zisipotee?Na Yapi Yakufata?Nisaidieni,
 
Nakushauri ungeenda ofisi za CMA,hawa wanasuluhisha kesi za wafanyakazi na waajiri wao .Kwa hapa Dar ofisi yao iko opposite na chuo cha DIT kama unaenda Posta
 
Kwani policy za shirika/ofisi unapofanya zinasemaje pasipokuwa na non-renewal ya contract?

Je kwenye mkataba wako kipengele cha renewal kinasemaje, unatakiwa kuandika barua/kujaza form za renewal au inakuwaje? Unasemaje pia juu ya utaratibu wa notification ya non-renewal ya mkataba wako??

Tuanzie hapo kwanza
 
Mimi wangu umeisha japo naendelea na kazi. Kwa sababu wako kimya watakuja shangaa na-disappear kimya kimya. Hapo kuna kosa lolote kisheria nikiondoka kienyeji?
 
Pole mkuu,uraiani kugumu sana,chagua lowassa mambo kama hizo hazitakuwapo
 
Back
Top Bottom