Mkataba wangu wa kazi umekwisha miezi miwili sasa, mwajiri bado ananilipa.

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
2,292
Reaction score
798
Naomba msaada hapa,.
1.je nina haki yakupewa notisi ya kuachishwa kazi?
2.Je nina haki ya kupewa madai yani termination benefits?
 
Kama bado unalipwa kwa terms zile zile hapo mkataba umekuwa "renewed by default" sasa unataka notice na termination benefits za nini??
 
Kazini unakwenda?

Sio umelala nyumbani afu unalipwa huku unafurahia.
 
A contract can be verbal or written. In the absence of a new contract, the terms and conditions of the old contract continues to function and guides your dealings...
....noted.
....na VIP kama unaachishwa kazi siku 2 baada ya mkataba wako wa mwanzo kuisha
...eg,mkataba umeisha 30.05.2018 na unakuja pewa barua ya kuterminate contract tar 02.06.2018...hapo sheria inasemaje mkuu
 
Kama bado unalipwa kwa terms zile zile hapo mkataba umekuwa "renewed by default" sasa unataka notice na termination benefits za nini??
Just in case akitaka kusitisha kazi, nitakuwa na haki ya vipengele tajwa chini hapo
 
....noted.
....na VIP kama unaachishwa kazi siku 2 baada ya mkataba wako wa mwanzo kuisha
...eg,mkataba umeisha 30.05.2018 na unakuja pewa barua ya kuterminate contract tar 02.06.2018...hapo sheria inasemaje mkuu
Impliedly ni kuwa mkataba ulikuwa umeendelea hivyo inakuwa ni sawa na kumkatisha mtu mkataba wa kazi, unakuwa entitled kwa termination benefits kulingana na masharti mliyonayo kwenye mkataba kuhusu namna ya kumaliza mkataba
 
Lusajo unaweza niruhusu nikujie PM..?
.....kama hilo litakupendeza nahitaji kuongea na wewe kuhusu hili nnkamu
 
Back
Top Bottom