mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
Je umeajiriwa wapNaomba msaada hapa,.
1.je nina haki yakupewa notisi ya kuachishwa kazi?
2.Je nina haki ya kupewa madai yani termination benefits?
....noted.A contract can be verbal or written. In the absence of a new contract, the terms and conditions of the old contract continues to function and guides your dealings...
Hayo ni maswali yako, yangu angalia chiniKwa iyo unataka mwajiri asitishe huo mshahara?
Private companyJe umeajiriwa wap
Just in case akitaka kusitisha kazi, nitakuwa na haki ya vipengele tajwa chini hapoKama bado unalipwa kwa terms zile zile hapo mkataba umekuwa "renewed by default" sasa unataka notice na termination benefits za nini??
Nakwenda kama kawaida mara nyingi anakuwa out of country lakini akirudi ananitafuta fresh, nampa mrejesho hvyo yaniKazini unakwenda?
Sio umelala nyumbani afu unalipwa huku unafurahia.
Hapo umenena mkuu, asante sanaA contract can be verbal or written. In the absence of a new contract, the terms and conditions of the old contract continues to function and guides your dealings...
Kazi inafanywa kama kawaidaKazi unafanya au hufanyi
Impliedly ni kuwa mkataba ulikuwa umeendelea hivyo inakuwa ni sawa na kumkatisha mtu mkataba wa kazi, unakuwa entitled kwa termination benefits kulingana na masharti mliyonayo kwenye mkataba kuhusu namna ya kumaliza mkataba....noted.
....na VIP kama unaachishwa kazi siku 2 baada ya mkataba wako wa mwanzo kuisha
...eg,mkataba umeisha 30.05.2018 na unakuja pewa barua ya kuterminate contract tar 02.06.2018...hapo sheria inasemaje mkuu
Lusajo unaweza niruhusu nikujie PM..?Impliedly ni kuwa mkataba ulikuwa umeendelea hivyo inakuwa ni sawa na kumkatisha mtu mkataba wa kazi, unakuwa entitled kwa termination benefits kulingana na masharti mliyonayo kwenye mkataba kuhusu namna ya kumaliza mkataba
Mwajiri amerenew mkataba wako wa zamani. Endelea kupiga kaziNaomba msaada hapa,.
1.je nina haki yakupewa notisi ya kuachishwa kazi?
2.Je nina haki ya kupewa madai yani termination benefits?