Mkataba wenye utata kati ya Bernard Morrison na Simba umebadiliahwa rasmi kwenye mfumo wa usajili was TMS

Usipanic ndugu, ndio dunia ilivyo. Hata ktk politics na mambo mengine mf kiuchumi HALI NDIO HIO HIO. Pambaneni na hali yenu
Hatuna haja ya kufanya hivyo kwasababu hao mliotegemea kuwachukua ili mtukomeshe hawajawasaidia kitu upande wenu na upande wetu hawajaleta pengo lolote. Poleni kwahilo
 
Sasa si ndio vizuri wamerekebisha mapungufu tatizo Nini sasa
 
KIDAO aagiza, Mkataba wa Morrison na Simba wabadilishwa rasmi TMS

Mkataba wenye utata kati ya Bernard Morrison na Simba umebadiliahwa rasmi kwenye mfumo wa usajili was TMS, baada ya Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred KIDAO kuwaamrisha maofisa wake kufanya hivyo usiku wa manane kuamkia leo.

Habari za uhakika kutoka ndani ya TFF kitengo cha Usajili zinasema kuwa KIDAO alimuagiza mmoja wa maofisa wake wanaosimamia TMS, kufanya hiyo usiku na tayari zoezi limekamilika.

TFF ilikuwa ikisubiri kwa hamu dirisha la usajili kufunguliwa ili wabadili Mkataba wenye mapungu uliokuwepo na waweke mpya, ili kuzima malalamiko yaliyoibuliwa na Yanga Oktoba Mosi mwaka huu.

Tangu Yanga ilipoibua malalamiko hayo ya kukiukwa kwa taratibu za Usajili, TFF haikujibu chochote, huku Vigogo wa TFF wakikutana na wale wa Simba kwa siri kupanga namna ya kulizima sakata hilo na ndipo Rais wa TFF Wallece KARIA na Katibu wake KIDAO walipoagiza hoja za Yanga zisijibiwe huku wakiagiza wafanyakazi wa TFF kwenye mfumo wa Usajili kuhakikiaha wanabadili mkataba huo mara tu dirisha litakapofunguliwa.

Mara tu baada ya dirisha kufunguliwa saa sita Usiku, KIDAO aliwakurupusha Maofisa wake, kufanya suala hilo na tayari wamebadilisha Mkataba huo hivyo kujinuaufu na aibu kubwa ilivyokuwa ikiwakabili.

Baada ya Yanga kuwasilisha malalamiko rasmi Oktoba Mosi, KIDAO alikataa Sekretarieti ya TFF kupelekwa suala hilo kwenye Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji, na badala yake akafungua kesi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela kwenye Kamati ya Maadili.

KIDAO na KARIA wamekuwa mawakala wakubwa wa agenda chafu za Simba kwenye soka la Tanzania huku wakiendesha Shirikisho watakavyo wao bila kujali taratibu na kila anayeonekana kuwahoji wamekuwa wakimtafutia utaratibu wa kumfungia.

#SisiNiMaShahidiTu
#hallaywsmm[emoji1241]
View attachment 1650486
Haya wahini FIFA maana mnachojua ni kulalamika tu kama changudoa aliyekopwa
 
Majungu FC ...
 
Back
Top Bottom