Mkatae mkubali Awamu ya Tano Ttumepigwa mno

Genge lote la wapigaji ambalo lilikuwa limekalia maslahi ya watumishi na kubana mzunguko mzima wa pesa likisukumizwa ndani, bila shaka nitakuwa mstari wa mbele kwenye kampeni ya kumlazimisha mama....
 
Mlikula wote wewe.ulikuwa miongoni mwao!! Umeyajuaje yooote haya.

Bado tu na wewe umo humo kwa nini mlimshabikia???
Sas umekosa cheo umerudia matapishi nakujua sana ndugu yangu hata ukibadili avatar kaeni huko huko.
Mlidhani tutashindwa kuendesha chama?? Ona sasa huko wamekunyima teuzi. Unslialia nilikwambia japo hukuniamini.

Bado silaha huyu tuta zaa nae soon wee subiri tu.uone mchezo.

Tulikwambia sisi huyu jiwe haendi mbali ukadhani tunakuonea wivu kiko wapi??

Unajirudisha kijanja??? Hatubadiriki.
 
kama anaiba halafu anatunufaisha kama taifa, ni Mzalendo halisi na anapaswa kuigwa.
mama ntilie una muibia. Vifanyakazi hivi vitoto vya maskin unaviibia?? Kweli??

Eti Bila mshipa wa aibu akajenga chato.sasa ule uwanja watatua popo na bundi wa marehemu babu yake..

Chato itakufa kifo cha mende tu.watalii wataenda mwitongoooo via serengeti from Kenya

Unatumbua vitoto vya maskini vile eti ni vifsnyakazi hewa??BOT.JWTZ.POLISi wakubwa mbona hajatumbua.aliwabagua wabongo.

Ndo maana limekufa walimlaani vibaya na anastahili kifo na adhabu ya kaburi.

Huko chato ndo aliona Tanzania tu panapostahili?? Aliua mchana kweupeee!! Akafa kweupeee!!!

Hata yeye mwenyewe!! aliona aibu kutamka ugonjwa wake hadharani ili wananchi tumuombea tu!!

Na ili Atubu!! Lkn jiwe halikupata nafasi yakutubu.fikiria adhabu yake sasa kwanza mbinguni haendi!!!

Mbona mchonga alitubu na tulilia na kumuombea. Na Tukasamehe Watoto kwa wakubwa???

Mwitongo pataheshimika carne zote! Patajengwa na usioo wajua siyo sirikali wala wana mara watajenga pale.
ila Mungu wa sabato atapajenga alishaanza kitambo.

Butiama zamani hapakuwa vile!! Mjifunze kuheshimu watu wenye Uungu ndani yao.
 
Basi tufanye ndege zilinunuliwa tandika pale kama hazikutoka Canada.
 
Cc mkorinto
 
too much hearsay.
 
Na bado tutaendelea kupigwa sana kwa katiba hii na taasisi hizi dhaifu.
 
We jamaa una akili sana umeongea kwa mafumbo...naona mafisadi yanajikanyanga kukusapoti bila kusoma vizuri[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji851]

Viva Viva JPM
 
Soma vizuri ujaelewa lengo la mtoa mada....anaponda mafisadi.
 
too much hearsay.
rumours has been there since jesus era.no strange!!
and its part of life+ unavoidable truthfulness.
Take it or leave It but gonna stand on its own.no mattet what.....
 
rumours has been there since jesus era.no strange!!
and its part of life+ unavoidable truthfulness.
Take it or leave It but gonna stand on its own.no mattet what.....
Muwe mnasoma watu vizuri...mtoa mada anasupport JPM..
 
rumours has been there since jesus era.no strange!!
and its part of life+ unavoidable truthfulness.
Take it or leave It but gonna stand on its own.no mattet what.....
Unless you're in a smear campaign; prove what you've alleged.
 
Ulikuwa utawala wa shetani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…