Mkatae mkubali Awamu ya Tano Ttumepigwa mno

Mkatae mkubali Awamu ya Tano Ttumepigwa mno

Uk
Ukweli siku zote humuweka mtu huru.

Huyu Mwendazake alikuwa mnafiki sana kila jumapili utasikia ooh tumuweke Mungu mbele....lakini kumbe huyu alikuwa anatupiga vya kutosha.

Ukijumlisha ufisadi wote uliofanyika kipindi cha Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete unapata ufisadi wa Magufuli.

Kwenye hii miradi mikubwa mikubwa sijui.

-Bwawa la Nyerere tumepigwa mabilioni ya pesa ( kama wanabisha CAG aweke mikataba wazi).

-Kwenye Reli ya Kisasa. Hapa ndio watanzania tumepigwa tukapigika..Ukiangalia hela iliyotumika kipande cha Dar-Moro utajua tumepigwa tu.

-Kwenye vituo vya afya zaidi ya 400 ( Hili jamaa kwenye kila kituo limesema limetumia sijui milioni 400. Huu ni uongo wa wazi...yaani vituo vikubwa hivyo milioni 400. Nakataa...nasema sitaki. Hapa kuna harufu ya ufisadi abadani.

-Kwenye mishahara ya wafanyakazi. Huyu jamaa aliiba hela nyingi akawa anamtumia mpwa wake (DJ) kupeleka kwenye fixed account kule ulaya ili zizalishe na ndio maana akawa anawalipa wafanyakazi mishahara mapema.

- Tukija kwenye Shirika la ndege. Hapa kuna upigaji wa standard guage. Hizi ndege zote sijui 11 walizonunua kwa pesa taslimu ni wizi mtupu. Hizo ndege tumedanganywa eti zilinunuliwa Marekani, sijui Canada hizo ni propaganda.

Hizo ndege zilinunuliwa China (Ni ndege feki. Hata siku moja huwexi nunua ndege za mzungu 11 kwa cash...wanaofanya hivyo ni wajinga tu watu wananunua kwa mikopo! Wataalam wa uchumi wanakwambia tungekopa ndege hasara ingepungua kwa asilimia 60 au isingekuaepo kabisa!

Kwenye madaraja Busisi na lile la Bahari ya Hindi. Hapa ndio usiseme. Kwanza amejenga daraja la Busisi kilomita 3.5 ili Wakwe zake wapite. Hili jamaa lilikuwa lina upendeleo sana. Kwanini ajenge Busisi karibu na kwa baba mkwe wake? Kwanini asingejenga hata Ruvuma si kuna ziwa nyasa hko?

Kwenye elimu bure ufisadi uliofanyika wa Escrow ac. Ukasome! Chaki walikuwa wanaleta zile za Simiyu ili kukuza kiwanda cha SukumaGang, na wameiba hela nyingi sana. Kwanini wasingeagiza chaki China. Chaki zenye bei rahisi? Walishindwa nini? Kule china chaki bei chee sema ni mbali tu...sa si wangetumia hata bombadier moja itatosha kubeba mzigo w ma chaki ambazo zitatumika kwa muda mrefu, kwanini wanumue za Simiyu?


Achana na hayo yote, uongo mkubwa kuliko yote...ni eti nchi yetu imeingia uchumi wa kati miaka 5 kabla ya wakati. Hapa ni mpumbavu tu ndiye atakayeamini huu upuuzi.

Hapa bado sijagusia , marekebisho ya shule kongwe 78, barabara za lami, ela za mazungumzo na DPP...kuna uozo wa kutosha muda utaongea!

SukumaGang mnajiandikia report zenu ma kuwaaminisha watanzania tumeingia uchumi wa kati, nani kasema. Hizo report zenu za kupika mnazowatumia kina Msiba na Kina Kasimu Majaliwa tumeshazipata.

Mama Kazi iendelee sukuma ndani wote mafisadi wa awamu ya tano...we anza upya tuna imani na utawala wako! Serikali yako itakuwa safi sana mwanzo mzuri ila hii serikali ya awamu ya tano ilikuwa imeoza sana...inanuka kama jasho la kwenye kikwapa cha mbeba mizigo bandarini kwa kiswahili fasaha wanawaita wanyonge.

"Mataga nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" itikieni "Kazi iendelee"
Ukweli mchungu.
 
alleged for what??? Doesn't make sense!!! Unlessotherwise u'r not serious!!!
mama ntilie una muibia. Vifanyakazi hivi vitoto vya maskin unaviibia?? Kweli??

Eti Bila mshipa wa aibu akajenga chato.sasa ule uwanja watatua popo na bundi wa marehemu babu yake..

Chato itakufa kifo cha mende tu.watalii wataenda mwitongoooo via serengeti from Kenya

Unatumbua vitoto vya maskini vile eti ni vifsnyakazi hewa??BOT.JWTZ.POLISi wakubwa mbona hajatumbua.aliwabagua wabongo.

Ndo maana limekufa walimlaani vibaya na anastahili kifo na adhabu ya kaburi.

Huko chato ndo aliona Tanzania tu panapostahili?? Aliua mchana kweupeee!! Akafa kweupeee!!!

Hata yeye mwenyewe!! aliona aibu kutamka ugonjwa wake hadharani ili wananchi tumuombea tu!!

Na ili Atubu!! Lkn jiwe halikupata nafasi yakutubu.fikiria adhabu yake sasa kwanza mbinguni haendi!!!

Mbona mchonga alitubu na tulilia na kumuombea. Na Tukasamehe Watoto kwa wakubwa???

Mwitongo pataheshimika carne zote! Patajengwa na usioo wajua siyo sirikali wala wana mara watajenga pale.
ila Mungu wa sabato atapajenga alishaanza kitambo.

Butiama zamani hapakuwa vile!! Mjifunze kuheshimu watu wenye Uungu ndani yao.
 
How does allegations come about in dis jargony?????
 
Hilo la kuwalipa wafanyakazi mishahara mapema huwa linanikera , mapema ipi?
Mtu akikulipa mshahara tarehe 15 kila mwezi utasema ni mapema?.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom