Mkate wa mchele au wakumimina

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow simba pole leo mlikuwa mnakomaa kiume na tumejua kuwa bila marefa hamtoboi πŸ˜‚
Turudi class
Kwanza andaa mchele wako vizuri chambua kama unaweza kuloweka loweka mimi sikuloweka kwasababu nilikuwa na haraka zangu binafsi

Hapo nilikuwa nimeweka mchele sukari hamira na irick ya unga

Hapo nikaweka maji wewe unaweza kutumia maziwa au tui la nazi nikasaga mh nikaona mchele hausagiki vizuri nikabidi nipunguze

Nilipoona umesagika good nikawasha moto uku nikisubiri uji uumuke

Baada ya mda nikachukua sufuria nikaweka mafuta nikaacha yachemke kabisa uku nikiyazungusha ili mafuta yaenee kwenye sufuria

Baada ya kuenea vzr nikaweka uji wa mchele ulio umuka vzr niliukoroga kuondoa upepo

Baada ya lisaa ndio nikatoa ila mimi nilisumbuka kama una oven tumia oven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…