Mkate wa mchele au wakumimina

Mkate wa mchele au wakumimina

Hellow simba pole leo mlikuwa mnakomaa kiume na tumejua kuwa bila marefa hamtoboi 😂
Turudi class
Kwanza andaa mchele wako vizuri chambua kama unaweza kuloweka loweka mimi sikuloweka kwasababu nilikuwa na haraka zangu binafsi
View attachment 3248273
Hapo nilikuwa nimeweka mchele sukari hamira na irick ya unga
View attachment 3248279
Hapo nikaweka maji wewe unaweza kutumia maziwa au tui la nazi nikasaga mh nikaona mchele hausagiki vizuri nikabidi nipunguze
View attachment 3248287
Nilipoona umesagika good nikawasha moto uku nikisubiri uji uumuke
View attachment 3248297
Baada ya mda nikachukua sufuria nikaweka mafuta nikaacha yachemke kabisa uku nikiyazungusha ili mafuta yaenee kwenye sufuria
View attachment 3248301
Baada ya kuenea vzr nikaweka uji wa mchele ulio umuka vzr niliukoroga kuondoa upepo
View attachment 3248309
Baada ya lisaa ndio nikatoa ila mimi nilisumbuka kama una oven tumia oven
View attachment 3248315
Huwezi amini kwasas Nina miaka 7 npo mkoani sijawh kula hivi vtu nakumbuka mbali sana
 
Huo unaitwa mkate wa chile.....
Au badala kuoka kwenye sufuria, huo unaweza kupika kwa kutumia kikaangio, unapata "Vibibi"

1740431512891.png
 
Back
Top Bottom