Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
- Thread starter
-
- #41
Dah tumejikosea kitu kizuri, inabidi nifuatilie why na nikipata jibu kama nawza pata recipe , itabidi nifanyie kazi.Mikate ile mitami klikuwa inazalishwa na Shirika la umma NMC. Mashirika ya umma mengi ilifika wakati yalidorora au kufa. Utengenezaji wa huo mate nadhani uliathiriwa na hali hii.
Maziwa na siagi.Kwa wale wahenga wenzangu wa Oysterbay na Masaki, mnakumbuka kipindi cha miaka ya 80, pale Morogoro stores, kulikuwa na duka lina uza Mikate ya Siha, kipindi hicho niko mdogo sana sikumbuki vizuri ila ninachokumbuka kama vile ilikuwa inapaikana mara moja kwa week na kulikua kama inagombewa.
Sijui sababu haswa ilikuwa ni nini kugombewa kihivyo na kwanini ilipatikana mara moja kwa weeki na je, Mkate wa Siha ulikuwa mkate unatengenezwa kwa nini haswa, sababu ulikuwana utamu a aina yake.
NMC arusha walizalisha mizuri sana, dar napo ilikua mizurimkuu kiwanda kiliitwa NMC-national milling corporation, Pia walitengeneza chakula kuku
Sikujua kabisa Mkate huo ulikua popular hivyo , nilidhani ni maeneo ya Obay na Masaki , nilidhani duka liliku hapo tuu moja na nikadhani ulitengenezwa na bakery ndogo iliyopo hapo eneo la Morogoro Stores in Oysterbay, kumbe ni kitu kilikuwa kikubwa hivyoMaziwa na siagi.
Moshi arusha kipindi hiko wanafunzi wa sec wale walokua na uwezo wakofika mjini ni mkate wa Siha kwa kwenda mbere
Hata NMC ARUSHA walitengeneza pia kwa ajili ya Arusha na MoshiNimewaza labda ulikuwa unatengenezwa na mchaga mmoja huko wilayani Siha mkoani Kilimanjaro,anyway kama ulikuwa unatengenezwa Tazara dasalama kwann ulitoka mara Moja Kwa wiki?
Itabidi kutafuta wafanyakazi wa hapo watupe siri kama waliijua , tutengeneze mikate hiyo tenaNMC arusha walizalisha mizuri sana, dar napo ilikua mizuri
YES,Sikujua kabisa Mkate huo ulikua popular hivyo , nilidhani ni maeneo ya Obay na Masaki , nilidhani duka liliku hapo tuu moja na nikadhani ulitengenezwa na bakery ndogo iliyopo hapo eneo la Morogoro Stores in Oysterbay, kumbe ni kitu kilikuwa kikubwa hivyo
Ile mikati ya siha na ya Arusha ilikuwa mitamu kipindi kile kwa kuwa hali ya uchumi ilikuwa mbaya. Ni kama pilau la enzi zile au wali ndondo vilikuwa vitamu kwa kuwa upatikanaji ulikuwa mbinde. Uchumi umekuwa kwa sasa mikate yote ina viwango tunajionea kawaidaKumbe ilikua popular sehemu nyingi, ila najiuliza kma ilikuwa mitamu kwanini hajaendelea kuwepo wakati uhitaji upo ? au ilikuwa ni ladha tamu ya kawaida tuu kama mikate mingi iliyo kuwepo sasa, ila tuu labda kwa wakati huyo tulikuwa hatuna choice nyingi na mitamu ilikua ni hiyo tuu kwa kipindi hicho na tunaimani kwamba ilikua mitamu sana kwa sisi ulio kula kipindi hicho?
Ushaambiwa ilikuwa inaokwa na NMC,Sasa jiulize hiyo NMC Kama bado ipo na mikate yake itapatikana piaAsante sana, je kwa sasa inapatikana hiyo mikate?
Ndio maana nikauliza, sababu ina wezekana recipe yake iko na labda ina julikanaUshaambiwa ilikuwa inaokwa na NMC,Sasa jiulize hiyo NMC Kama bado ipo na mikate yake itapatikana pia
Nakumbuka ilikua mitamu sana a ilipo kuwa ikija the whole neigbohood ina jua na foleni na ukichelewa ina kuwa ime kiwisha .Hii mikate ilikuwa mitamu๐, ilikuwa inafungwa kwenye kifuko kina maandishi mekundu hivi
Ndio๐๐, Mimi nilikuwa nakunywa na chai kwa style ya kuiloweka kwenye chai ๐๐๐Nakumbuka ilikua mitamu sana a ilipo kuwa ikija the whole neigbohood ina jua na foleni na ukichelewa ina kuwa ime kiwisha .
Samaki sikumbuki , ila Tanganyika Packers numbuka , Baba yangu alikuwa ana nunua Cane beef zilikuwa kwa ajili ya mbwa na paka , zilikuwa zinanukia vizuri sana kiasi unatamani kuonja ila wakasema ni kwa wanyama tuu , ina wezekana ilikuwa ni mabaki ya nyuma za ng'ombe za pale kiwandani .Nani anakumbuka wale samaki wa kwenye mkebe kutoka China unapasha kidogo unakula na ugali pia na Tanganyika Beef kutoka Tanganyika Packers zile za kwenye mikebe
Ilikuwa inagombaniwa sana jamani, tena huku kwetu ilikuwa inakuja asubuhiNdio๐๐, Mimi nilikuwa nakunywa na chai kwa style ya kuiloweka kwenye chai ๐๐๐
Asante , hilo ndio nilikuwa nina hisi, inawezekana sio kwamba ilikuwa ya ajabu sana ila tuu choices ya different dreads tulikuwa hatuna , ina wezekana ni kama hii hii ya sasa ila tuu kipindi hicho kama unavyosema ni hali ya kiuchumi,sababu najiuliza kama ilikuwa mitamu kihivyo kwanini haikuendelezwa ?Ile mikati ya siha na ya Arusha ilikuwa mitamu kipindi kile kwa kuwa hali ya uchumi ilikuwa mbaya. Ni kama pilau la enzi zile au wali ndondo vilikuwa vitamu kwa kuwa upatikanaji ulikuwa mbinde. Uchumi umekuwa kwa sasa mikate yote ina viwango tunajionea kawaida
Kipindi hicho mikate ilikuwa adimu sana kama zilivyokuwa bidhaa nyingi. Mikate mingi ilikuwa inaokwa kwenye bakery ndogo ndogo za mtaani ila mikate ya siha ilikuwa inaongoza kwa ubora. Kwa sasa hivi bila shaka itaonekana ni mikate ya kwaidia tu kwani kuna mikate mingi yene ubora.Asante
, nilikuwa najiuliza ilitokea wapi ? na je kwanini kwa sasa haipo?