Mkate wa Siha

Vitu vingi vya zamani vilikuwa kwenye ubora, hata soda za Fanta za enzi zile sio sawa na za sasa. Kwanza soda kuipata huipati kirahisi, saivi soda mpk kwenye meza za machinga zimejaa kibao.

Hio mikate ndio haisemeki, hata wewe ukitaka kufungua bakery unafungua ya kwako mkuu
 
Ajabu wallah.

Haya huku Zanzibar boflo tulokuwa tunakula enzi tupo wadogo tofauti sana na hizi boflo za sasa. Zamani harufu tu ya boflo inakwita. Kwanza kuupata mkate wa boflo ilikuwa kwa mbinde watu bakery wanakabana kama Huna nguvu utaondoka mkate hujaupata. Saivi mabekari kibao lkn mikate haina kiwango. Kate kavu hatari mara unapata constipation
 
Ikarius nimeipanda sana lile roli aisrr lilikuwa likipita sehem kama ni posta likipita panabakia peupeeee, halikuwa na ruti maalum
Kikweli sikumbuki , hivi barabara zilikuaje kwa bus kama hilo kupita?
 
Hata hiyo Mikate ya Siha ilikuwa na harufu yake inaita , isije kuwa Boflo ndio Siha kwa huku bara tuliita hivyo.
 
Ilitoka Arusha ile mikate ilikua mitam balaa
 
Ilitoka Arusha ile mikate ilikua mitam balaa
Asante ,kama tutaweza pata mtu anaye jua namna ya kuitengeneza itakuwa jambo zuri na labd ungeona kama ilikuw amitamu kushinda mikate y sasa
 
Tumepata hasar kubwa sana ya kuto document hizo Recipee/Formula , kama wangetambua hilo na dhani wangekuwa wako kwa level nyingine ya juu sna kwnye biashara ya bekaries.
 
Ili kutumia gari Jumapili au sikukuu ilibidi uwe na kibali cha Mkuu wa polisi wa wilaya.
Ulikuwa ni wakati mgumu sana.
 
Ili kutumia gari Jumapili au sikukuu ilibidi uwe na kibali cha Mkuu wa polisi wa wilaya.
Ulikuwa ni wakati mgumu sana.
Duh maisha yalikuwa ya aina yake aisee, sasa sasa sijui ulikuwa unaombaje hicho kibali iabidi uende Police au sijui ilikuwa inakuaje hapo.
 
Kiranga hatimae umerudi bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…