Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
NMC ilikufa kifo cha mendeeAsante
, nilikuwa najiuliza ilitokea wapi ? na je kwanini kwa sasa haipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NMC ilikufa kifo cha mendeeAsante
, nilikuwa najiuliza ilitokea wapi ? na je kwanini kwa sasa haipo?
Haipo tena, na hao NMC walishajifia long time...Asante sana, je kwa sasa inapatikana hiyo mikate?
Ukute wenye formular/recipes washajifia na processes zao 🥲🥲🥲Wenye Bakery wachangamkie fursa hiyo
Vitu vingi vya zamani vilikuwa kwenye ubora, hata soda za Fanta za enzi zile sio sawa na za sasa. Kwanza soda kuipata huipati kirahisi, saivi soda mpk kwenye meza za machinga zimejaa kibao.Kumbe ilikua popular sehemu nyingi, ila najiuliza kma ilikuwa mitamu kwanini hajaendelea kuwepo wakati uhitaji upo ? au ilikuwa ni ladha tamu ya kawaida tuu kama mikate mingi iliyo kuwepo sasa, ila tuu labda kwa wakati huyo tulikuwa hatuna choice nyingi na mitamu ilikua ni hiyo tuu kwa kipindi hicho na tunaimani kwamba ilikua mitamu sana kwa sisi ulio kula kipindi hicho?
Kuna jamaa alikuwa anafanya kazi kwenye bakery zao anasema walikuwa wanaweka mayai, maziwa etc...yaani quality ilikuwa everythingKwani ilikuwa inapikwaje?
Ajabu wallah.HIyo ina weekana kabisa, quality ya vitu vingi imehuka sana , ina wezekana na hii moja wapo, sasa sijui kwanini hakuna mjanja aliyejaribu mimicking the recipe , hata kwa alio kuwa kwenye kitengo cha kuchanganya mazaga zaga , ili kitoke kitu kifananae na original kwa namna fulani , maana kama kweli ilikuwa na utofauti kihivyo basi ikija now itakua a big hit kwanye bakary industry .
Ok,wajuzi watakujuzaNdio maana nikauliza, sababu ina wezekana recipe yake iko na labda ina julikana
Kikweli sikumbuki , hivi barabara zilikuaje kwa bus kama hilo kupita?Ikarius nimeipanda sana lile roli aisrr lilikuwa likipita sehem kama ni posta likipita panabakia peupeeee, halikuwa na ruti maalum
Kabisa lazima tumfufue na atujibu why wametufikisha hapaAliyeua mashirika ya UMMA anatakiwa afufuliwe apigwe fimbo
Hata hiyo Mikate ya Siha ilikuwa na harufu yake inaita , isije kuwa Boflo ndio Siha kwa huku bara tuliita hivyo.Ajabu wallah.
Haya huku Zanzibar boflo tulokuwa tunakula enzi tupo wadogo tofauti sana na hizi boflo za sasa. Zamani harufu tu ya boflo inakwita. Kwanza kuupata mkate wa boflo ilikuwa kwa mbinde watu bakery wanakabana kama Huna nguvu utaondoka mkate hujaupata. Saivi mabekari kibao lkn mikate haina kiwango. Kate kavu hatari mara unapata constipation
Ilitoka Arusha ile mikate ilikua mitam balaaKwa wale wahenga wenzangu wa Oysterbay na Masaki, mnakumbuka kipindi cha miaka ya 80, pale Morogoro stores, kulikuwa na duka lina uza Mikate ya Siha, kipindi hicho niko mdogo sana sikumbuki vizuri ila ninachokumbuka kama vile ilikuwa inapaikana mara moja kwa week na kulikua kama inagombewa.
Sijui sababu haswa ilikuwa ni nini kugombewa kihivyo na kwanini ilipatikana mara moja kwa weeki na je, Mkate wa Siha ulikuwa mkate unatengenezwa kwa nini haswa, sababu ulikuwana utamu a aina yake.
UPDATE.
Leo nime tambua jambo kuhusu MIkate ya Siha, siku zote nilidhani ni Mikate toka kwnye Bakery moja ndogo ya binafsi in Oysterbay na ndio ilikuwa ina bake hiyo mikate kwa ajili ya wateja wakazi wa Masaki, Oyesterby na Masasani na ndio maana nikasema Wahenga enzangu wa Masaki ana Oysterby ,sababu tulinunua hapo Morogoro stores in Oysterbay ( Pale ilipoPale maeno ya ilipo kuwa Maisha Club kwa wasio tambua Morogoro stores ) kumbe sivyo , Mikate ilikua Populary sehemu kubwa ya Tanania
Asante ,kama tutaweza pata mtu anaye jua namna ya kuitengeneza itakuwa jambo zuri na labd ungeona kama ilikuw amitamu kushinda mikate y sasaIlitoka Arusha ile mikate ilikua mitam balaa
Tumepata hasar kubwa sana ya kuto document hizo Recipee/Formula , kama wangetambua hilo na dhani wangekuwa wako kwa level nyingine ya juu sna kwnye biashara ya bekaries.Haiwezekani uonekane wa kiwango cha chini. Issue ni kwamba kwa sasa vitu vingi watu wanachakachua formula/recipe...kwa sababu wale wa zamani walishindwa pia kurithisha kwa waliokuja baadae.
Yaani vitu vingi vimebadilika ladha, we unaambiwa mkate ulikuwa unawekwa maziwa, mayai, samli...sasa saivi vinawekwa hivyo. Na hata kama vinawekwa basi kwa kiwango kdg sana..
Hivi karibuni walitaka kurudisha gudigudy lkn hawajazipatia hasa. Naona wameachana nazo. Big G nazo zipo zipo tu sio kama zile za zamani
Duh maisha yalikuwa ya aina yake aisee, sasa sasa sijui ulikuwa unaombaje hicho kibali iabidi uende Police au sijui ilikuwa inakuaje hapo.Ili kutumia gari Jumapili au sikukuu ilibidi uwe na kibali cha Mkuu wa polisi wa wilaya.
Ulikuwa ni wakati mgumu sana.
Kiranga hatimae umerudi bongo.Nakumbuka Ikarus na mabasi ya Kamata, mabasi ya kamata yalikuwa hayo yalipita nje ya nyumbani kwetu , kipindi hicho niko mdogo , hausgeli wetu alikua ana penda kunitisha kama nilileta utundu kwamba ata niletea basi la Kamata nilinakate na nilikuwa na uoga mkubwa nikiona basi la Kamata.
Mabasi ya Ikarus nilikuwa ninayaona mjini zaidi ,kununua unga NMC hiyo sikumbuki vizuri ,pia nakumbuka mzee wangu siku ya Jumapili alikua haweze endesha gari, nadhani serikali ili zuia sababu ya ku save mafuta , tulikuwa na marafiki wa mzee wangu wanaishi Upanga, hivyo alikuwa akiwarudisha nyumbani kama wamekuja kututembelea nyumbani Jumapili ,basi alikuwa ana wafikisha mpaka maeneo ya Kenyatta Dr , pale wana shuka na kuetmbea kwenda Upanga sababu ukifika Slender Bridge gari ingekamatwa .