Pre GE2025 Mkazi wa Korogwe atua mkutanoni na 'Kapu la Kura' kwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Mmoja ya wananchi wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga amejitokeza kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa kuhutubia akiwa na kapu litakalojaa kura zake!

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais Samia ambaye amewasili Korogwe akitokea Lushoto yupo Tanga kwa ziara ya kikazi ambapo anazindua miradi na kuongea na wananchi maeneo mbalimbali mkoani humo.

snapinsta.jpg
Snapinsta.app_480962469_616812387647546_7697013552643936840_n_1080(1).jpg
 
Mmoja ya wananchi wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga amejitokeza kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa kuhutubia akiwa na kapu litakalojaa kura zake!

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais Samia ambaye amewasili Korogwe akitokea Lushoto yupo Tanga kwa ziara ya kikazi ambapo anazindua miradi na kuongea na wananchi maeneo mbalimbali mkoani humo.

Anaonekana ana NJAAKALI na hilo kapu lake! Tena ni njaa iliyosababishwa na serikali ya ccm. Hivyo angepewa kwanza chakula ili uso uchangamke.
 
2025 Kuna chama kwa mara ya kwanza, hakitaonekana Bungeni labda kwa uteuzi wa Samia
 
Mmoja ya wananchi wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga amejitokeza kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa kuhutubia akiwa na kapu litakalojaa kura zake!

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais Samia ambaye amewasili Korogwe akitokea Lushoto yupo Tanga kwa ziara ya kikazi ambapo anazindua miradi na kuongea na wananchi maeneo mbalimbali mkoani humo.

Ujinga
Umaskini
Maradhi
Uchawa

Maadui wakubwa wa taifa hili
 
Mbona hizi slogans hazina tofauti sana na akina mwamposa ambao wako karibu sana na Samia. Kapu la upako = kapu la kura kwa Samia. Kweli mwaka huu tutakoma kweli kweli..
 
Back
Top Bottom