Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki

Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki

Mtu kama hana Yesu ndani yake, anakuwa ni kama mnyama tu.

Ibilisi anamtumia kama apendavyo.!
 
Huko Ruvuma watu kujiua uwa ni kawaida.
 
Yani msongo wa mawazo ndio ambake binti yake,huyo mi nadhani ni kichaa kabisa,tusisingizie kila kitu ni msongo wa mawazo...
 
Yani msongo wa mawazo ndio ambake binti yake,huyo mi nadhani ni kichaa kabisa,tusisingizie kila kitu ni msongo wa mawazo...
Msongo wa mawazo ulisababishwa na tukio la kutaka kumbaka mwanae.
 
nimekuelewa mkuu bt kama itakupendeza nipe mwaliko siku1 tufanye maombi ya pamoja chumbani.
Hapana asante.ukifanya na familia yako chumbani itapendeza zaidi na Mungu atayajibu maombi yenu kwa wakati.Hallelujah..👏
 
Hapana asante.ukifanya na familia yako chumbani itapendeza zaidi na Mungu atayajibu maombi yenu kwa wakati.Hallelujah..
mkuu tukifanya maombi nawe nahisi ntabarikiwa zaidi hivo usilikatili ombi hili.
 
Ni roho ya lipepo linalokuja katika mwili wa mwanadam.tuzidi kujiombea Rehema pamoja na vizazi vyetu kila uchwao.hali ni mbaya mno
True,
Mtoto wa miaka 10 jamani,
Hakuna kazi kubwa niliyo nayo Sahiv kama kulinda hawa watoto wangu
 
Hapana asante.ukifanya na familia yako chumbani itapendeza zaidi na Mungu atayajibu maombi yenu kwa wakati.Hallelujah..👏
😢 usikatae bana, hata mimi nataka nije tufanye maombi 🤔
 
Mmh yani nyege ikupelekee kumbaka mtoto wako wa miaka kumi! Aisee.
Umeona nyege tu..! Si nimeandika na uchawi pia!
Hii lawama yako mpk nimeona huruma..😅
 
Umeona nyege tu..! Si nimeandika na uchawi pia!
Hii lawama yako mpk nimeona huruma..😅

Kwa issue ya uchawi inawezekana ndio maana sijaizungumzia ila hiyo ya nyege sijakubaliana nayo🤓
 
Kwa issue ya uchawi inawezekana ndio maana sijaizungumzia ila hiyo ya nyege sijakubaliana nayo🤓
😂😂
Hiyo ya nyege huwa inabalance equation hasa pale kunapokuwepo ke na me za umri sambamba fulani hivi.. mfano mi nikutake wewe halafu we unakuwa na zile sitaki nataka... Hapo lazima mnanilii ananilii ili tunanilii kwenye nanilii..😂😅
 
waganga wamempa Missionn amefeli.. sasa ni full msongo
 
Back
Top Bottom