Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki

Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki

Kwahiyo ukishindwana na mkeo unaenda kubaka mwanao?

Are you mavi wewe?

Sijui hata umeandika nini! Hebu rudia tena!
Kuna watu wana akili za ajabu sana nimesoma hapo nikaishia tu kusikitika.
 
Huwezi kujua mkuu lakini nahisi mgogoro wa ndoa unahusika. Kitendo cha kubaka ni kibaya sana.

Katika maisha yetu wanaume, kua na mke pekee bila kamchepuko pembeni, nikujitafutia matatizo. Ukipigwa stress kidogo na wife madhara yake ndio hayo.
Bro bro bro... Utetezi gani wa kiboya huu unaleta wewe, binti yako wa kumzaa tena miaka 10 unataka kuleta Nye Nye nyee hapa kwendraaaa
 
Napenda kushare nanyi hiki kisa kwani kimetokea eneo lililopo kwa sasa.
Kwanza, hiyo picha si ya tukio husika, pili huyo alikuwa ni mlinzi wa shule ya kanisa ( Likonde minor seminary).

Je silaha aina ya Gobole ilikuwa mali ya nani? Kwa taarifa ni kuwa marehemu alikuwa muwindaji tangu awali hivyo alikuwa anamiliki silaha hiyo kwa utaratibu wa kisheria.

Je kwa nini kajiua? Taarifa zilizopo mtaani ni kuwa marehemu alikuwa na ushirikina katika kazi yake ya uwindaji, sharti ilikuwa ili awe anapata wanyama lazima alale na mabinti zake, tabia hiyo ameifanya siku nyingi na mabinti zake wengine wawili tayari wameolewa. Hivi karibuni alitaka kufanya kwa binti yake mwanafunzi kati ya darasa la nne ama tano, mke wake akapokea malalamiko toka kwa mtoto, akamshtaki serikali ya kijiji, na mmoja wao kwenye baraza la migogoro ni kaka yake na marehemu, mke akaona anazungushwa akaenda mahakamani ( Kigonsera) huko kesi ilikuwa isomwe jana tarehe 2 July, jamaa akaamua kujiua shambani kwake kabla ya kufika mahakamani.
 
Huwezi kujua mkuu lakini nahisi mgogoro wa ndoa unahusika. Kitendo cha kubaka ni kibaya sana.

Katika maisha yetu wanaume, kua na mke pekee bila kamchepuko pembeni, nikujitafutia matatizo. Ukipigwa stress kidogo na wife madhara yake ndio hayo.
Kama hujui jambo, aka kimya siyo kuleta mawazo yako ambayo hayana ushahidi. Ni upotoshaji.
 
Hiyo Picha uliyo weka haina uhusiano na mada yako sababu hakuna mlinzi wa yeyote nchi hii anaye ruhusiwa kulinda na pistol!
 
Position ya "Murder Weapon" inaonyesha dhairi kuwa ameuliwa!!!!
 
Back
Top Bottom