Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Nahitaji kufanya Kilimo Ruaha Mbuyuni mwenyeji wa pale naomba aje anisaidie kujua kuhusu gharama za kukodi shamba kwa heka 1.
Nipo hapaNahitaji kufanya Kilimo Ruaha Mbuyuni mwenyeji wa pale naomba aje anisaidie kujua kuhusu gharama za kukodi shamba kwa heka 1.
Ahsante sanaKaribu ruaha ..maeneo ya kujidai