Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Jamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama mtoto mdogo. Kwasasa mwamba anafagia tu pale hospital ya mkoa wa morogoro.
Funzo: mkioa wake zenu kama hawajaenda shule wapeni semina elekezi ya vitu nyeti ndani ya nyumba mfano vyeti vya kitaaluma na hati za ardhi aziheshimu. Usije ukakuta siku kavitia vyote kiberiti.
Funzo: mkioa wake zenu kama hawajaenda shule wapeni semina elekezi ya vitu nyeti ndani ya nyumba mfano vyeti vya kitaaluma na hati za ardhi aziheshimu. Usije ukakuta siku kavitia vyote kiberiti.