Mke achoma vyeti vya mumewe kwa kutokujua kusoma.

Mke achoma vyeti vya mumewe kwa kutokujua kusoma.

Jamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama mtoto mdogo. Kwasasa mwamba anafagia tu pale hospital ya mkoa wa morogoro.
Funzo: mkioa wake zenu kama hawajaenda shule wapeni semina elekezi ya vitu nyeti ndani ya nyumba mfano vyeti vya kitaaluma na hati za ardhi aziheshimu. Usije ukakuta siku kavitia vyote kiberiti.
Duh inabid tuoe wanaojua kusoma
 
Yaani dunia ya sasa unaoa mtu hajui kusoma na hufanyi jitihada za kumfundisha??

Ila hii chai ina funzo ndani yake.
 
Back
Top Bottom