Sii vinapatikana hivyo mbona...ukirudi kwenye academic institutions mbona unapataJamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama mtoto mdogo. Kwasasa mwamba anafagia tu pale hospital ya mkoa wa morogoro.
Funzo: mkioa wake zenu kama hawajaenda shule wapeni semina elekezi ya vitu nyeti ndani ya nyumba mfano vyeti vya kitaaluma na hati za ardhi aziheshimu. Usije ukakuta siku kavitia vyote kiberiti.
Kaulize tena huko ulikoambiwa vyeti vinapatikana kirahisi hivyo.Vyeti si vinapatikana tu atafute loss report aende chuo au Nacte anapata
Alafu wee utakuwa unawafagilia hawa wanawake wasomi...bro hao hatuoi...ni majanga tuuu. Bora hao wa form four failures lakini sio hawa wa degree zao sijui cpa. Nyodo kama zoteJamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama mtoto mdogo. Kwasasa mwamba anafagia tu pale hospital ya mkoa wa morogoro.
Funzo: mkioa wake zenu kama hawajaenda shule wapeni semina elekezi ya vitu nyeti ndani ya nyumba mfano vyeti vya kitaaluma na hati za ardhi aziheshimu. Usije ukakuta siku kavitia vyote kiberiti.
Unawapa copy hawataki waende mamlaka husika wakahakiki serial number.Scan vyeti vyote kuanzia cha kuzaliwa academic Certificates cha ndoa vya watoto na makolokolo mengine then tupia kwa email, Google drive na njia nyingne..., hapo kitabaki wewe tu na kichwa chako...
NB: kuna baadhi ya sehemu wanataka kuona original certificate....
Hii ni chai bila kiungo.Jamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama mtoto mdogo. Kwasasa mwamba anafagia tu pale hospital ya mkoa wa morogoro.
Funzo: mkioa wake zenu kama hawajaenda shule wapeni semina elekezi ya vitu nyeti ndani ya nyumba mfano vyeti vya kitaaluma na hati za ardhi aziheshimu. Usije ukakuta siku kavitia vyote kiberiti.
Hii movie nishawahi kuiona. Si ni ya Kinigeria?Jamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama mtoto mdogo. Kwasasa mwamba anafagia tu pale hospital ya mkoa wa morogoro.
Funzo: mkioa wake zenu kama hawajaenda shule wapeni semina elekezi ya vitu nyeti ndani ya nyumba mfano vyeti vya kitaaluma na hati za ardhi aziheshimu. Usije ukakuta siku kavitia vyote kiberiti.