Mke achoma vyeti vya mumewe kwa kutokujua kusoma.

Sii vinapatikana hivyo mbona...ukirudi kwenye academic institutions mbona unapata
Mkuu unajua utaratibu lakini au unaongea kimasihara ? Kumbuka nilazima kwanza ukatoe taarifa hizi mpaka kwenye magazeti ya tanzania na maprosesi kibao unadhani kila mtu anaweza ku afford hizi gharama? Achilia mbali kujua mlolongo wote step by step.
 
Hee heri nifie jera 😂 uchome sup zangu
 
Mkuu unajua utaratibu lakini au unaongea kimasihara ? Kumbuka nilazima kwanza ukatoe taarifa hizi mpaka kwenye magazeti ya tanzania na maprosesi kibao unadhani kila mtu anaweza ku afford hizi gharama? Achilia mbali kujua mlolongo wote step by step.
Hatari...sii mchezo
 
taratibu zpo kila sehemu, hata majumbani kwetu tunaweka taratibu mbalimbali, kimsingi cheti kikiungua au kikipotea kuna taratibu zipo ukizofuata unapatiwa cheti kingine au document ya kuthibitisha kwamba una elimu hiyo.
Kwa hiyo ulikuwa hutaki kuwe na taratibu za kufata ili kupata cheti kingine?
 
Ukipoteza vyeti taarifa lazima uipeleke kwenye matangazo ya magazeti na picha yako itolewe magazetini ndio utaratibu.
 
Napata faida gani kwamfano nikisema uongo?
Ndio ujishangae mwenyewe .
Haiwezekani mtu kushushwa cheo na kuwa mfagiaji kosa eti vyeti original vimeungua moto nyumbani. Hakuna kitu kama hivyo.
Hata kwenye zoezi la uhakiki wa vyeti vya watumishi tulitumia nakala ya vyeti vilivyokuwa kwenye mafaili ya watumishi nakala ya cheti ndio ilipelekwa necta kuhakikiwa na sio cheti original.
Kimsingi ukishapata ajira ukaamua kutulia kwenye ajira hiyo unaweza usitumie tena cheti chako hicho ulichopatia kazi original for life
 
Kutokuwa na vyeti original ni sawa na mwanaume mwenye mkono wa Sweta mbele ya pisi
Kama ukiwa huna kazi na unatafuta kazi vyeti original ni muhimi.
Kama ukishapata kazi na ukaamua kutulia kwenye ajira hiyo vyeti original vinaweza kuwa useless for life.
Nijuavyo Mimi ofisi zina utamaduni wa kuhifadhi nakala ya vyeti
 
Hebu tuonyeshe wapi niliposema jamaa kashushwa cheo kuwa mfagizi kisa kaunguliwa na vyeti nyie ndio walimu mnaofundisha watoto wetu halafu mko empty headed tabularasa ndio mnaosemwa na Mpwayungu Village kila siku.
 
Mpuudhi tu wewe halafu unaelekea hata hujasoma.
Kuunguliwa au kupoteza vyeti vya Elimu sio ishu kubwa
Vyuo vinakumbukumbu ya wahitimu wao ukipoteza cheti unafata process unapata duplicate.
Wewe ni mmoja wapo wa majitu ya hovyo huku JF yanayotoa ma post bila kufikiria wewe kichwa chako kazi yake ni kama kifuniko cha mabega tu wala hakina kazi ya kufikiri
 
Ukipoteza vyeti taarifa lazima uipeleke kwenye matangazo ya magazeti na picha yako itolewe magazetini ndio utaratibu.
Huo utaratibu upo kwenye vyeti vinavyotolewa na necta tu. Vyeti vinavyotolewa na taasisi nyingine hakuna takwa hilo
Halafu we jamaa inaonekana ni kilaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…