Nitumia hiyo picha PM.Mwanadada alihaamua kujipiga Selfie Na Mume Wake Aliyefariki , Na Kumtumia Mpenzi (mchepuko)Wake Kama Uthibitisho na kumwambia.
Hatimaye tumekua huru kwenye mahusiano yetu mapya.. kabla ya hapo mdada huyu aligundua kua mume wake Hana maisha marefu na hakuna kitu anaweza kumfanyia tena kwaio alitafuta mwanaume wa pembeni ili kufidia nafasi atakayoicha mme wake akishafarikii..
Hata hivo haikwenda kama alivyotarajia kijana huyo aligoma kuishi nae na kumwambia kama ameshindwa kuonyesha upendo Kwa mme wake wa ndoa atawezaje kumpenda yeye Kwa dhati.
Picha ningeweka apa ila zinatia huluma sana
Kwa mazingira hayo ni lazima huyo mchepuko achomoe. Huyo katili ni wa kukaa naye mbalikijana huyo aligoma kuishi nae na kumwambia kama ameshindwa kuonyesha upendo Kwa mme wake wa ndoa atawezaje kumpenda yeye Kwa dhati.
Mtaka yote Kwa pupa hukosa yoteMwanadada alihaamua kujipiga Selfie Na Mume Wake Aliyefariki , Na Kumtumia Mpenzi (mchepuko)Wake Kama Uthibitisho na kumwambia.
Hatimaye tumekua huru kwenye mahusiano yetu mapya.. kabla ya hapo mdada huyu aligundua kua mume wake Hana maisha marefu na hakuna kitu anaweza kumfanyia tena kwaio alitafuta mwanaume wa pembeni ili kufidia nafasi atakayoicha mme wake akishafarikii..
Hata hivo haikwenda kama alivyotarajia kijana huyo aligoma kuishi nae na kumwambia kama ameshindwa kuonyesha upendo Kwa mme wake wa ndoa atawezaje kumpenda yeye Kwa dhati.
Picha ningeweka apa ila zinatia huluma sana
Kwa matumizi binafsiNitumia hiyo picha PM.
Fact 😎.Kwa matumizi binafsi
Hehehe
Duhhhhh!!
Unaonekana unaubinafsinuliokithiriiNitumia hiyo picha PM.
MawardatKamuua mtoto wa watu😪
Hila nimecheka hapo mwisho,eti picha zinatia huruma😁😁,,ngoja niweke.
Nipo,hujambo?