Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Afu usiwe unapoteaga hivo kipenzi mama mtumishi.

Hili andiko limenibariki sana.

Wanaume wanataka wao ndio wafiche simu zao, mwanamke akificha ni Malaya🤣🤣🤣
 
Afu usiwe unapoteaga hivo kipenzi mama mtumishi.

Hili andiko limenibariki sana.

Wanaume wanataka wao ndio wafiche simu zao, mwanamke akificha ni Malaya🤣🤣🤣
Kwenye issue za michepuko, najikutaga tu naitwa hata nikiwa ndotoni.

Teh waache waite majina yote as if yanabadili chochote. ila Kila mtu lazima avune anachokipanda kwa mkewe. Na bado hawajasema......
 
Mtumishi Mwamposa alifundisha kuwa wanawake .... sababu mwanamke eventually ndiye atakuwa victim..... mwingine ukienda kumfumania anakuacha atakwambia umemdhalilisha.
kwani mke akiachwa victim ni mwanamke tu ? Mnufaika wa ndoa ni mwanamke tu? NA wanakuwa wanafanyiwa favor kuolewa ??? kwenye divorce victim ni mwanamke Lwa mujibu wa mtumishi wa Mwamposa.

Kwa nn unadhani mtumishi wa Mwamposa ana upeo wa kukupanga kimawazo na kimaisha, ana elimu gani huyo Mtumishi wa Mwamposa kwanza ????

halafu hili chezo linaweza kuwa foul play vile vile ... lakini kwa Afrika every homicide is suicide, nobody is thinking twice, polisi, raia, waandishi... wote sponge heads.
 
Kama mme na mke hamuaminiani katika ndoa, hakikisheni kila mtu simu yake in password anayoijua yeye mwenyewe!
Hapo mtakuwa salama!
 
Eeh huku kwetu ndoa ni ya mwanamke; wanaume haiwahusu na hata hata wakiachwa hawaumii teh teh
 
Ni kukosa Hekima
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Kwani angeondoka akaanze maisha mapya si angempendeza muumba zaidi kuliko alichofanya.
 
Kweli,

Na utegemezi,

Angekuwa na hela yake kiasi cha kuwa huru kifedha asingalifanya hayo angeondoka zake aishi ajitegemee.
Labda aishi peke yake, lakini kwa wanaume wetu hawa waliozaliwa kutoka kwenye tumbo la mwanamke sijui ataondoka mara ngapi!!!
 
Hata ningekuta hayo siwezi kutoa uhai wangu. Sioni kitu chochote ambacho ningekikuta kwenye simu kisababishe nijiue.
 



Ni kutokana Na uzoefu alonao,

Wanawake wengi ndio wanaoenda kumuona kufanya maombi warejee kwa wanaume wao wakati hakuna Mwanaume anaye kwenda kumuona kuomba kufanyiwa maombi ya wake zao wawajeree.

Upo ?!
 
Eeh huku kwetu ndoa ni ya mwanamke; wanaume haiwahusu na hata hata wakiachwa hawaumii teh teh
Of course ndoa ni swala linalompa favor zaidi mwanamke kuliko mwanaume, hasa baada ya kupitishwa sheria lukuki zinazomlinda mwanamke ndani ya ndoa dhidi ya mwanaume, ndo maana baadhi ya watu wakaanzisha kampeni za kataa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…