Mke akinunua gari/kiwanja, mkiachana inatakiwa kugawanywa kama wanaume?

Mke akinunua gari/kiwanja, mkiachana inatakiwa kugawanywa kama wanaume?

upupu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Posts
614
Reaction score
198
Kwa taratibu nizijuavyo ni kuwa, kama utakuwa na mke au mume, kama mume akinunua kitu iwe kiwanja, gari au nyumba, basi ni mali yenu pamoja, hata mkiachana mnagawana.

Ila je mke kama akinunua pia huwa ni mali yenu pamoja? na mkiachana inatakiwa kugawana? sheria inasemaje kwenye hili?

Magwiji wa sheria mtujuze tafadhali.
 
Mke akinunua ni vyake...na kama unajua kutoka moyoni kuwa hujachangia kuna haja gani ya kutaka mgao ??
 
Sheria imeeleza wazi kuwa mwanaume ndio ana wajibu wa kummeintain mke wake na watoto na c mwanamke except in exceptional circumstances... So pambana baba..!!
 
Ngoja nikae hapa ili nisikilize jinsi ya kugawana mali nikiachana na mke wangu
 
Sheria imeeleza wazi kuwa mwanaume ndio ana wajibu wa kummeintain mke wake na watoto na c mwanamke except in exceptional circumstances... So pambana baba..!!

Huwa nauzimia sana mwandiko wako. Mengine ni siri yangu moyoni
 
Mkwepa kodi utachekwa...tafuta vyako na wew..!!
 
Kwa taratibu nizijuavyo ni kuwa, kama utakuwa na mke au mume, kama mume akinunua kitu iwe kiwanja, gari au nyumba, basi ni mali yenu pamoja, hata mkiachana mnagawana, ila je mke kama akinunua pia huwa ni mali yenu pamoja? na mkiachana inatakiwa kugawana? sheria inasemaje kwenye hili? Magwiji wa sheria mtujuze tafadhali

Unataka kujua sheria ya dini gani?
 
Hio itakuwa matrimonial Property ndugu muuliza swali kwakuwa ni Mali iliyochumwa mkiwa ndani ya ndoa
 
swali zuri ila lianjibiwa kihuni.Mwenye anajua sheria aseme maana siku zote sheria huwa ni ujanjaujanja tu.Mfano kama mama wa miaka 30 akijihusisha kimapenzi na mvulana wa miaka 14,je huu utaitwa ubakaji ama!?
 
Kwa taratibu nizijuavyo ni kuwa, kama utakuwa na mke au mume, kama mume akinunua kitu iwe kiwanja, gari au nyumba, basi ni mali yenu pamoja, hata mkiachana mnagawana, ila je mke kama akinunua pia huwa ni mali yenu pamoja? na mkiachana inatakiwa kugawana? sheria inasemaje kwenye hili? Magwiji wa sheria mtujuze tafadhali
Not from law perspective but FYI wanawake ni wabinfsi sana na hawakuumbiwa kugawana chao na mwanaume hata akichangia kuna siku atakusimanga hata mkikorofishana kidogo tu so cha kwake ni chake cha kwako ndio cha kwenu. Hapa wanaume ni kufigth tu kuwa Nazo kuwazidi wanawake
 
tafuta vyako ni aibu mwanaume kulia timing mali za mke japo kisheria una haki
 
Km vimechumwa ndani ya ndoa mgao haupingiki japo mafungu yanaweza kutofautiana
Muulizeni mwanadada star wa bongo flavour baada ya kuacha na mume wake alivyo haha kubadilli majina ktk mali, mwisho wa siku ilibidi ambembeleze cha kumpoza kabla hajaburuzana mahakamani
Hiyo inatosha kuwa ni mfano
 
Not from law perspective but FYI wanawake ni wabinfsi sana na hawakuumbiwa kugawana chao na mwanaume hata akichangia kuna siku atakusimanga hata mkikorofishana kidogo tu so cha kwake ni chake cha kwako ndio cha kwenu. Hapa wanaume ni kufigth tu kuwa Nazo kuwazidi wanawake

Wanawake ni wabinafsi sana hata kama mume ukikwama ukimuomba afanye matumizi ya ndani kwa gharama zake, atadai anakukopesha kwa maana mwanaume ukipata umrudishie .

Usawa waoudai si wahaki ni wanyonge machoni pa watu nje lakini ni wababe sana ndani.
 
Back
Top Bottom