upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 198
Kwa taratibu nizijuavyo ni kuwa, kama utakuwa na mke au mume, kama mume akinunua kitu iwe kiwanja, gari au nyumba, basi ni mali yenu pamoja, hata mkiachana mnagawana.
Ila je mke kama akinunua pia huwa ni mali yenu pamoja? na mkiachana inatakiwa kugawana? sheria inasemaje kwenye hili?
Magwiji wa sheria mtujuze tafadhali.
Ila je mke kama akinunua pia huwa ni mali yenu pamoja? na mkiachana inatakiwa kugawana? sheria inasemaje kwenye hili?
Magwiji wa sheria mtujuze tafadhali.