Sheria imeeleza wazi kuwa mwanaume ndio ana wajibu wa kummeintain mke wake na watoto na c mwanamke except in exceptional circumstances... So pambana baba..!!
Kwa taratibu nizijuavyo ni kuwa, kama utakuwa na mke au mume, kama mume akinunua kitu iwe kiwanja, gari au nyumba, basi ni mali yenu pamoja, hata mkiachana mnagawana, ila je mke kama akinunua pia huwa ni mali yenu pamoja? na mkiachana inatakiwa kugawana? sheria inasemaje kwenye hili? Magwiji wa sheria mtujuze tafadhali
Not from law perspective but FYI wanawake ni wabinfsi sana na hawakuumbiwa kugawana chao na mwanaume hata akichangia kuna siku atakusimanga hata mkikorofishana kidogo tu so cha kwake ni chake cha kwako ndio cha kwenu. Hapa wanaume ni kufigth tu kuwa Nazo kuwazidi wanawakeKwa taratibu nizijuavyo ni kuwa, kama utakuwa na mke au mume, kama mume akinunua kitu iwe kiwanja, gari au nyumba, basi ni mali yenu pamoja, hata mkiachana mnagawana, ila je mke kama akinunua pia huwa ni mali yenu pamoja? na mkiachana inatakiwa kugawana? sheria inasemaje kwenye hili? Magwiji wa sheria mtujuze tafadhali
Mke akinunua ni vyake...na kama unajua kutoka moyoni kuwa hujachangia kuna haja gani ya kutaka mgao ??
Not from law perspective but FYI wanawake ni wabinfsi sana na hawakuumbiwa kugawana chao na mwanaume hata akichangia kuna siku atakusimanga hata mkikorofishana kidogo tu so cha kwake ni chake cha kwako ndio cha kwenu. Hapa wanaume ni kufigth tu kuwa Nazo kuwazidi wanawake
Mbona badala ya kujibu hoja ya msingi, mmekazania tafuta vyako? Kwani amesema hatafuti? Swali la msingi, je sheria zinasemaje?