Mke akoswakoswa kuuawa na mume wake kwa kisu

Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
6,602
Reaction score
10,801
Munghonie bhandu bha kyala? Mwiputie?

Haya bondeni tena huko, kijana aliyefahamika kwa jina la Ntembeko Myalo anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kujaribu kumuua mke wake kwa kumchoma na visu.

Kijana huyo alikua ni wanafunzi wa chuo cha western cape na mkewe akisoma Cape Peninsula University of Technology (CPUT).

Wakati alipokuwa akitaka kutekeleza tukio hilo mwanafunzi mmoja alijitokeza kumuokoa binti huyo mpaka wengine walipofika na kuanza kumtembezea kichapo kikali huyo kijana aliyetaka kumuua mkewe.

ANGALIZO:
1. PICHA ZA LEO HAZITISHI
 
Pichani inaonesha alishamchoma visu tayari!
Chanzo kilikuwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…