Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nafu respekti kwa mzee Deep Pond.

Nimejifunza kitu hapa kwenye huu Uzi mujarabu.

Nakuahidi nitakuwa imara sana kwenye mbilinge za mahusiano.

Nimeanza mwaka Niko on relationship the serious one.

Wazee wa telegramu nimeshaachana nao kwa Muda may be permanent. [emoji1]

Nashukuru tena kwa SoMo

DeepPond
 
[emoji28] Usiogope brother nimesema tu, ila wanawake watu wa kuishi nao kwa akili sana na umakini sana... All in all huyo kamwe milele hatakuja kukufanyia ujinga maana anajua kichaa chako moto wake hauzimi....
Ha ha ha...
Hajawai kurudia ule Ujinga kabisa
Huwa namwabia kua hizi Mali za kupita,
Isifikie hatua Mali zikatuondolea utu na ubinadamu
Mali haziwez kunifanya niogope kuachana na mwanamke Maana najua hata zikipotea mikono na miguu bado ninayo, kama nilivotafuta zile,ntatafuta nyngn pia.

Mkuu,
Achilia mbali kugawana na mwanamke,
Nishapitia hasara nyng sanankibiashara kuliko hata hizo Mali mwanamke angechukua.

Kwahyo,
Hata angesema anachukua,
Ningechukulia ni hasara TU kibiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema posts zako inabidi nipate muda wa kutosha hapo nimesoma trela tu nitairudia baadaye
 
Aisee mama G kumbe alinyooshwa,Ila Hongera zake kwa kujifunza na kutokuwa mkaidi....bado mama J Sasa nae apunguze mawenge yake😁😁
 
Aisee mama G kumbe alinyooshwa,Ila Hongera zake kwa kujifunza na kutokuwa mkaidi....bado mama J Sasa nae apunguze mawenge yake[emoji16][emoji16]
mamaJ nmejaribu kumrudisha mstarini imeshindikan, labda mbeleni uko akiamua mwnyw.

MamaG ilikua fasta Sana kumbadilisha maana wakaripiaji walikua wengi sana,
(Hasa baba ake na upande wa mama ake)

afu hajakulia uswahilini kivile sana Seema baada ya kumaliza shule ndo akaenda kwa shangaz zake magomeni. Ila background yake kakulia Sana upande wa mama ake ambao ni wacha mungu sn na alisoma shule za dini. Sema ndo hivyo alifeli shule.

afu pia mamaG nilimuwahi akiwa na umri mdg sn, anamuogopa baba ake balaa[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameelezea kwenye stori yake familia yake ilikuwa vizuri finnancially sidhani km ingemlostisha
Anabishia uzoefu tu uyo,

kwa hatua nilokua nmefikia niliumia Sana, Maana nilijua kumbe naishi na mwanamke aliefata maslahi na sio Wala mapenz ya kweli

Mtu wa hivi Bora Ni mpe kila kitu akafurahie na nimfute kabisa ktk memory ya maisha yangu.

Hata Kufungua ile biashara sio kwamba nilikua nakomaa Sana Sina chanzo kingine.

Bali ilikua influence ya mzee nimtoe wife pale nyumban kuepuka magomvi na majirani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu umetisha nimesoma Kuna saa kma vile nakuona reaction zako na wafi wako

Hakika umempa fundisho kubwa

Vp kak ake mnamaelewano nae

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mm wa kwangu nimeshindwa kumuita tu mpuuzi ilaa achaaa tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ana hofu ya Mungu mama G thus y!Sasa huyo kivuruge wako pambana nae tu😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…