Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Itabidi nami ni change asee approach inadilike toka kwenye kurecover loss na kubet kama fun tu bila pressure
 
Uzi mzuri sana. Una kipaji cha kusimulia aisee.

Swali langu ni moja tu, kwanini unachepuka na mama J?

Vipi mkeo akiuona huu uzi?
 
Uzi mzuri sana. Una kipaji cha kusimulia aisee.

Swali langu ni moja tu, kwanini unachepuka na mama J?

Vipi mkeo akiuona huu uzi?
Au ndugu yeyote wa mkeo wanaojua huu mkasa wakiuona huu uzi?
 
Habari za itaendelea zimeuawa hapa

Hili jambo limefurahishwa nalo sana na wengine waige

Yaani mnamsubiri mtu wiki mbili? Si uwaambie tu unauza wajue moja
 
Habari za itaendelea zimeuawa hapa

Hili jambo limefurahishwa nalo sana na wengine waige

Yaani mnamsubiri mtu wiki mbili? Si uwaambie tu unauza wajue moja
Yaan Kama nilivosipenda habar za itaendelea, nami Siwez kuleta habar za itaendelea kwny nyuz zangu

Tusome Leo Leo,
tumalize Leo Leo,
Na tujadili leo leo,

Ili tupate nafas tukafanye mambo mengn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha...naona wengi sn mmevutiwa na mzee wangu kuliko Watu wengine kwny hii story nzima ya leo, Siri Nini[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee ni mtulivu, ana maono, anajuwa kufundisha, hana makuu, msikilizaji na mwenye kutoa nafasi, siyo dikteta kwa kuwa eti yeye ni baba. Anapenda maendeleo ya familia. Hajivuni kwa ajili ya uwezo ama mali. Ni mengi kuorodhesha.
Makofi kwake πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Shukran sn Kama umeliona Hilo mkuu,
Kiukweli nami najivunia Sana mzee wangu
Ndo maana nmekua namshirikisha Sana[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Wewe ni MWANAUME wa KIUME DeepPond

Pongezi nyingi kwa baba yako mzazi maana nafasi yake ya ubaba kaitendea haki sanaaa

Kila siku nasema raha ya mume awe mtafutaji, awe na msimamo, awe na maamuzi

Tukiwa na wanaume wa aina hii mahusiano mengi yatadumu.

Vinginevyo ni shida

Pongezi nyingi kwa mamaG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…