Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Karibu sn sista,
Afu una maisha marefu
Mchana nilikua najiuliza,sijasoma comment ya mama D hapa ,

Hivi kajichimbia wapi huyu mwanamke?[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndefu lakini haichoshi. Inafundisha pia. Asante DeedPond!
 
tumejifunza kwa kweli
 
Karibu sn sista,
Afu una maisha marefu
Mchana nilikua najiuliza,sijasoma comment ya mama D hapa ,

Hivi kajichimbia wapi huyu mwanamke?[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app

Nipo tele kakake

Mungu akuweke ukawe darasa kwa vijana wa kiume

Bila akili, nguvu na misimamo kwa mwanaume kila ndoa itamsumbua na kufa

Akili zetu sisi zinatutosha wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nipo tele kakake

Mungu akuweke ukawe darasa kwa vijana wa kiume

Bila akili, nguvu na misimamo kwa mwanaume kila ndoa itamsumbua na kufa

Akili zetu sisi zinatutosha wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake mko smart Sana mkiishi bila mashoga vivuruge, tatizo lenu mnawaamini Watu kirahisi wanawaingiza mkenge mnavuruga ndoa zenu.

Can u imagine,
Baada ya wife kuvuruga ndoa yake akarud kwao, shangaz zake hao hao wakaanza kumsimanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mengi mno ya kujifunza hapa kwa wote.
Your mentality πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ
 
Mzee mwenzangu najua kipindi hiki cha vurugu mechi ndio mama J aliingia kwenye scene japo hujamtaja πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…