Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Itakuwa ndio Wakati huu.. Mama J ana sehem yake special [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mamaj alikuja kuingia tukiwa ktk very peaceful moments na my wife.
Ilkua kimasihara masihara nikishawai kueleza kule kwny Uzi rikiboy pamoja na uzi wake wa zamani kdg umo humu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa ndio Wakati huu.. Mama J ana sehem yake special [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mamaj alikuja kuingia tukiwa ktk very peaceful moments na my wife.

Ilkua kimasihara masihara nikishawai kueleza kule kwny Uzi rikiboy pamoja na uzi wake flan wa purukushani zake zamani kdg ila umo humu ukiutafuta unaupata[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukuru sana kwa huyo mke..mie ningekuomba msamaha siku ya kwanza tu na ya pili ningeishia hapo.

Kuja kushinda dukani na kichanga mgongoni siku nzima na michozi juu kibarazani kwa kweli nisingeweza fanya mambo hayo. Ningeashume tu mungu hakupanga nikaendelea na maisha mengine.
 
Njaa haina baunsa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ukiweza fahamu tu effect ya mmeo hadi kwenye familia yenu incase of uchumi na especially kama kwenu hali tete utajifunza kitu.

Imagine utoke kwenye cycle ya kuchezea laki laki kila siku hadi kuwa dead broke.

Usione wanawake wenzio wanavumilia ndoa kuna mengi yanachangia.
 
Kwa kweli hapo ni kama kupoteza kibarua inabidi ukomae sana๐Ÿคฃ
 
Wife mwnyw anasema akifanya vile maana Hata kwao palikua pa Moto, waliomshaur Ujinga wanamsimanga kila kukicha kua kavunja ndoa yake kwa Ujinga wake afu kaidhalilisha sn familia yao, wao hawakumtuma akadai kugawana vitu vya dukani.

Kwahyo alikua anakuja kuomba msamaha aone Kama tutarudiana aondoke tu pale nyumbani aondoe ile adha ya kusimangwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deep pond,deep pond,deep pond nimeikuta mara tatu ww jamaa ni mwamba kweli kweli nakukubali sana mwamba na story zako zinamafunzo sana keep it up mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ