Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Inplay ndio mechi za live?
 
Hujawahi tuangusha[emoji16][emoji16]
 
Huu Uzi ni nyoco huu ndio uanaume!!!
 
Walimuona hana akili, sema kwa hili saga mama G hata akiambiwa kuwa unachepuka hawezi fanya lolote. Ile taizi ya fuso haitakaa ifutike kichwani mwake hadi siku anavuta.
 
Uzi mzuri sana. Una kipaji cha kusimulia aisee.

Swali langu ni moja tu, kwanini unachepuka na mama J?

Vipi mkeo akiuona huu uzi?
Kwa mkwara wa fuso na canter unafikiri atarudia ujinga tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…