Mke amejifungua mtoto wa kichina

Sema ni story za kutunga hizi za Facebook huko ndo wanatuletea hapa.
Ila yanawakuta watu
Nilienda mahala huko vijijini, nikakutana na katoto ka kichina kanachunga ndama

Wachina wamewatembezea dada zetu pumba.u sana
 
Babu wa bibi wa babu mzaa babu yako alikuwaga mchina!
 
Kwanzq acha kumdhalilisha mtoto plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…