Mke ameleta dada wa kazi nyumbani pasipo kumshirikisha mume

Mke ameleta dada wa kazi nyumbani pasipo kumshirikisha mume

Aandae mazingira ya kumla ki masihara mkuu😋😋
 
Kumlipa housegirl sio issue. Issue ni gharama anazotumia nyumbani kwako ambazo ukizijumlisha zinazidi mshahara wake hata mara tatu (3) kwa mfano:
1. Chumba anacholala kama angepanga angelipa say 50,000 kwa mwezi
2. Umeme anaotumia say kwa mwezi 5,000
3. Maji kwa mwezi 5000
4. Uchakavu wa vitu anavyotumia 5000
5. King'amuzi anachotumia 5000
6. Chakula 6000 x siku 30 = 180,000

Jumla kuu 250,000

Hapo hata kama mshahara atalipa mke bado itakula kwako tu
5. Kumbe TV mkiangalia wengi king'amuzi kinawahi kuisha? Hii nilikuwa sijui. Au unamtoza hela housegirl kuangalia TV?
 
Karibu JF mtandao ambao mtu huleta tatizo lake binafsi kwa kupitia mshikaji/jamaa yake
we jamaa nahisi baada ya umaarufu wa kijinga wa kuwa wa kwanza kujibu kila uzi kuisha sasa unataka kuja kivingine, kuja na style ya kukera watu. Uwe na kifua sasa cha kuhimili mitusi la sivyo utaona JF ngumu.
 
Yaani hapa JF watu wote wamesoma vyuo vikuu, hapa JF kila mmoja ana gari, hapa JF kila member ashatembea nchi nyingi, hapa JF watu wote hawana matatizo lakini wanawaombea ushauri ndugu au rafiki zao, hapa JF ndio sehemu pekee kila member ni mchambuzi wa soka hadi siasa. Jamii ya JF wamejitosheleza kila kitu
ha ha noumer
 
Huko nimeshavuka siku nyingi, unidhaniavyo sivyo, by the way hunijui sikujui...endelea kuamini unavyoamini

sijajiunga JF kutafuta umaarufu na pia kama kutukanwa unakosema nimeshatukanwa matusi yote na sijaona jipya

Nitoe maoni mimi tena sijatukana mtu halafu ukereke wewe, duuh pole sana.
 
Mi nahisi we unavimelea vya ubishoo....Sioni kama Kuna ubaya,sio lazima tatizo likukute wewe ndio useme hata lamwenzio ni sawa madam kusaidiana kutatua changamoto ,changamoto ni za Kila binadamu zipo tunaishi Nazo azikwepeki...ndio mana kunakushauriana ...
Mkuu upo sahihi kabisa, sikatai ila ndio hainizuiii kutoa wazo langu kwa jinsi ambavyo naona kama ni sahihi au sio sahihi

na ndio maana sikatai kukosolewa
 
Yaani hapa JF watu wote wamesoma vyuo vikuu, hapa JF kila mmoja ana gari, hapa JF kila member ashatembea nchi nyingi, hapa JF watu wote hawana matatizo lakini wanawaombea ushauri ndugu au rafiki zao, hapa JF ndio sehemu pekee kila member ni mchambuzi wa soka hadi siasa. Jamii ya JF wamejitosheleza kila kitu
Usisahau uganga wa jadi na maruhani wataalamu wake wako hapa
 
Kisa kiko hivi

Mshikaji wangu kaniomba ushauri wa mawazo,kanihadithia issue nzima ilivyo,ila point ya msingi ni kwamba mkewe ameleta housegal nyumbani pasipo kumshirikisha, anasema hapafahamu kwao na huyo binti wala wazazi wake, na pia yeye jamaa hana budget ya kulipa msichana wa kazi kwa sasa kwani mambo yake hayako vizuri,hivyo anashangaa kuletewa mgeni ndani kwake asiyemtambua.

Maamuzi yake yalikua ni kumchapa makofi mkewe na amtimue huyo binti arudi kwao.

Ila mimi nimemtuliza nimemwambia yeye ajifanye mjinga kama hajui lolote linaloendelea aone mwisho wa mwezi kama ataombwa mshahara wa huyo binti ama vipi,hapo ndio afungue mdomo wake sasa.

Nyie wakuu mna ushauri gani kwenye hili suala?
Tuanzie kwenye shape na sura ya mdada..!! Maana unaweza kuta mwana anategwa
 
Kisa kiko hivi

Mshikaji wangu kaniomba ushauri wa mawazo,kanihadithia issue nzima ilivyo,ila point ya msingi ni kwamba mkewe ameleta housegal nyumbani pasipo kumshirikisha, anasema hapafahamu kwao na huyo binti wala wazazi wake, na pia yeye jamaa hana budget ya kulipa msichana wa kazi kwa sasa kwani mambo yake hayako vizuri,hivyo anashangaa kuletewa mgeni ndani kwake asiyemtambua.

Maamuzi yake yalikua ni kumchapa makofi mkewe na amtimue huyo binti arudi kwao.

Ila mimi nimemtuliza nimemwambia yeye ajifanye mjinga kama hajui lolote linaloendelea aone mwisho wa mwezi kama ataombwa mshahara wa huyo binti ama vipi,hapo ndio afungue mdomo wake sasa.

Nyie wakuu mna ushauri gani kwenye hili suala?
Yaan mimi nkiona mwanaume akili yake inawaza solution ya haraka ni kumpiga mkewe naona hapa hamna kitu, kila mkeo akikosea unamchapa hvi huyo ni mtoto? Hata watoto hatuwachap kila wakikosea
 
Jambo balo bado si tatizo.. Maana kinachohitajika ni solution
True, kwa jambo kama hilo inabidi mazungumzo maana ushirikishwaji ni muhimu wakiamua kwa hisia mambo yanaweza kuvurugika na hata jamaa kupoteza focus ya kulea familia
 
Yaan mimi nkiona mwanaume akili yake inawaza solution ya haraka ni kumpiga mkewe naona hapa hamna kitu, kila mkeo akikosea unamchapa hvi huyo ni mtoto? Hata watoto hatuwachap kila wakikosea
Chukua dukani dumu la mafuta ya alizet najuka kulipa mkuu
 
Back
Top Bottom