Mke amesema harudi kwa mume, hata iwe kwa dawa harudi!

Mke amesema harudi kwa mume, hata iwe kwa dawa harudi!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Kisa hicho kuna wa mama fulani walikuwa wana muongelea mwana mama mwenzao huku mitaa ya kwetu sweet coner mitaa ya, manzese kisa hiko mwenzao kapata mume gonjwa, mpaka anasema hana haja ya talaka, akitaka pesa yake ya mahali aliotoa arejeshewe, hata kwenye fungate la ndoa, mume alijifanya kalewa usingizi...fofofoo siku nyingine wanalala mzungu wa nne! Visa kibao wanaongea hao, akina mama kuhusu huyo shemeji yao, mume wa rafiki yao, mara kasikia ooh mumeo kalala mferejini, maajabu sana haya! Alipompeleleza mumewe kumbe hatari sana mume mwenyewe gonjwa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125].
 
Nilikuwa kwenye pub moja mkuu, napata nyagi ndio nilipowasikia mkuu.
Kweli mzee baba hii ni nyagi kabisa

Sasa fanya hivii,
Lala kwanza ukiamka pata maji baridi na supu
Halafu urudi kuandika tena.
 
Kweli mzee baba hii ni nyagi kabisa

Sasa fanya hivii,
Lala kwanza ukiamka pata maji baridi na supu
Halafu urudi kuandika tena.
Mbona uzi unasomeka fresh tu mkuu.
 
Pale expert member anapoamua kumwaga radhi, ndio huwa hivi. Kutoeleweka
 
askflghbmcxnxxbweitoyyprlsqnqjweertrutitldksj
ndio ulichokiandika hapo....tumeelewana nadhani
 
Mleta mada unachanganya Kiswahili na maana zake
  • Mume ana Ukimwi
  • Mume anagongwa na wanaume wenzie mpaka anatoa harufu km kaokotwa mferejini?
  • Mume haisimami hata kwa kushikwa shikwa
ukiwa mCHABO au mMBEYA usisahau kutengeneza kihadithi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf kuna vituko sana sasa msela hapa point yake ni nn hasa jamanii[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom