Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Kisa hicho kuna wa mama fulani walikuwa wana muongelea mwana mama mwenzao huku mitaa ya kwetu sweet coner mitaa ya, manzese kisa hiko mwenzao kapata mume gonjwa, mpaka anasema hana haja ya talaka, akitaka pesa yake ya mahali aliotoa arejeshewe, hata kwenye fungate la ndoa, mume alijifanya kalewa usingizi...fofofoo siku nyingine wanalala mzungu wa nne! Visa kibao wanaongea hao, akina mama kuhusu huyo shemeji yao, mume wa rafiki yao, mara kasikia ooh mumeo kalala mferejini, maajabu sana haya! Alipompeleleza mumewe kumbe hatari sana mume mwenyewe gonjwa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125].