Asante sana mkuu. Jambo hili nalichukulia kwa uzito mkubwa.pole mkuu jitahidi upate ushahidi wa kutishiwa maisha iwe kama ushahidi .......ila kuwa makini inawekuwa amamemaanisha mkuu narudia tena kuwa makini
Nashukuru sana.Kama hadi kafikia hatua hiyo mna tatzo kubwa sana hebu lipunguzeni kwanza hilo ttz ili hatua zingine zifuate
Sent using Jamii Forums mobile app
Familia kwa kiasi kikubwa zimejaribu kufanya sehemu yake pasipo mafanikio.Mkuu kuhitaji taraka mapema hv naona kama siyo sawa mtafte kwaza kisha familia zikae kwa hatua za awali hapo ndy unaweza chukua hatua zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kujua mmezaa naye watoto wangapi?Familia kwa kiasi kikubwa zimejaribu kufanya sehemu yake pasipo mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app
tehe tehe teheDah watu wanabadilika sana, Mliwahi kuitana Sweetheart, Dear, Bae xoxoxoxoxoo halafu ghafla mnafikia kutaka kutoana Uhai?? MUNGU awabariki
Karibu[emoji114]Nashukuru sana mkuu kwa kunifumbua macho kiasi chake. Kama ungeniruhusu nikutembelee pm ningebarikiwa zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app